Jana nilikuwa Kempinski Level 8. Ungekuja UrbanGentleman
Jamani mpenzi wangu cesilia nisamehe nimekamatwa ma majukumu ya ndoa na maombi ya kanisa, Mungu akipenda saa 2 usiku kitu ndani ya boxi nisameheni mwayeni nawapenda
Hakuna asee. Sio kwa wanaume wa sahivi hawa wa mwendo kasi taabu tupu akikushika tu mara 1 ndio kwaheri. Kwanza mnakuwa mmepangana na anasubiri ukosee tu akuache, hawa wakina pedeshee wanaume wa zamani wanajua kupenda asee.
cesilia me nimempenda Pedeshee ana upendo wa kweli.