Ndio Human ni binaadamu, tafuti kamusi ujifunze karanga! 😀 😀 😀 usijibabaishe... Lete proof basi kama wewe ungeweza kuja Ulimwenguni bila kuwepo yai na sperm 😀Duh, nimekwambia habari za mtu mwenye credentials unaniuliza mimi tena credentials?
Human ni binadamu? Nimekwambia binadamu ni hadithi, umeelewahilo?
Nimekuuliza unipe definition ya huyo unayemuita binadamu, umeshindwa!
Ndio maana nkasema "TUKIJAALIA KUWA KWELI" basi still hana hoja badoKatika uislamu hatuna ndoa yoyote ya mkataba....hizo nipandikizi za Ulaya na Marikani, Talaka yenyewe ni halali ila mtume kasema ndojambo halali linalo chukiza zaidi mbele ya allah
Thibitisha Allah yupo na si hadithi za uongo tu.Moja kati ya neema ya Allah ni kila binaadamu akiwa na ufahamu wake, hatupo sawa sote katika masuala ya ufahamu. Vipi Allah ambae sio kiumbe ajiweke wazi mbele ya watu? Macho hayamfikii, tena ajiweke wazi vipi? Chochote ambacho unaweza kukiona basi huwa kina limit, sasa Allah hana limit huwezi kumuona.
Mbona Allah ameweka alama zake kuwa yupo ila ni ubishi wako tu? 😀 wewe ni dalili tosha kuwa muumbaji yupo. Na mpaka leo hujaleta uthibitisho wa binaadamu kuja mwenyewe duniani bila kuumbwa.
Jaribu kujenga hoja zenye maana.... Na narudia tena, huwezi kumfananisha Allah na chochote kile!
Thibitisha Allah yupo kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu.Ndio Human ni binaadamu, tafuti kamusi ujifunze karanga! 😀😀😀 usijibabaishe... Lete proof basi kama wewe ungeweza kuja Ulimwenguni bila kuwepo yai na sperm 😀
Hadithi gani nimekuletea? Kuwa wewe umeumbwa ni hadithi? 😀 Mbona mpaka leo hujawahi kuthibitisha kuwa wewe unaweza kutokea from nothingness to something?Thibitisha Allah yupo na si hadithi za uongo tu.
Hujathibitisha kwamba Allah yupo.Hadithi gani nimekuletea? Kuwa wewe umeumbwa ni hadithi? 😀 Mbona mpaka leo hujawahi kuthibitisha kuwa wewe unaweza kutokea from nothingness to something?
Unataka ujibiwe kitu ambacho ushajibiwa long time ago? kuwa Anything complex must have a creator, in fact, Anything must have a creator! sasa kama wewe unabisha hilo, tuoneshe mfano.
Anaetumia hadithi za uongo ni wewe! mimi nimeongea kitu Fact! wewe unaongea theory, which you cant prove!
WanaJF wanakusubiri utuoneshe something coming out of nothingness on its own! 🙂
Huwezi kuthibitisha kuwa hayupo ikiwa huwezi kutwambia human origin!
Huwezi kuthibitisha kuwa hayupo ikiwa huwezi kutwambia human origin!.
Siku zote nikikuona unapinga uwepo wa Mungu nilifikiri unamaelezo ya ktetea msimamo wako, kumbe bogus. Unaishia kusema Humans ni story tu. Unafikiri kila kitu ni hadithi kama hadithi zenu mnazoshindwa kuprove?.Msimamo wangu ni upi? Nimeshidwa vipi kuutetea? Mbona hunyambulishi mambo? Unaelewa hata ninachoandika?
Thibitisha kama wewe unaweza kutokea from nothingness basi, naona unapotezea watu muda tu..
Wwapi nimesema mimi nimetokea kwenye nothingness? Nothingness ni nini? Kwa nini unafanya kosa la kimantiki la kuhitimisha kwamba anayesema Mungu hayupo automatically anamaanisha tumetokea kwenye nothingness?
This is a logical non sequitur. Unaelewa hicho ni nini?
Mungu yupo na wewe ndio ushahidi wa yeye kuwepo, kama unapinga hilo tolea maelezo basi, ya nini unakimbia kimbia?.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, asingeumba kiumbe dhaifu anayeumwa na kufa kama mimi. Mimi kuweza kuumwa na kufa ni uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.
Thibitisha kama Hakuna Muumbaji na ulimwengu umejileta wenyewe.
Wwapi nimesema nimejileta mwenyewe? Mbona unakuwa dhaifu sana katika kufikiria kimantiki?
Tuko sehemu, unasema tumefika pale kwa kuletwa na dereva A, nakwambia dereva A hayupo, kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.
Unanipinga kwa kuniambia nithibitishe kwamba nimejileta mwenyewe.
Hata hujaelewa kwamba ninachokuambia si sawa na kukuambia nimejileta mwenyewe.
Kama huwezi kuelewa hilo, hata nikikuthibitishia Mungu yupo, uthibitisho huo utaweza kuuelewa?
Thibitisha kama Hakuna Muumbaji na ulimwengu umejileta wenyewe.Hapana, hapo unachosema ni kwamba "huwezi kuthibitisha square root ya 2 si 10 ikiwa huwezi kuthibitisha square root ya 2 ni nini"
Huhitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi.
Hii ndiyo sababu, katika kutafuta jibu sahihi, kuna method inaitwa "elimination method" ya kuondoa majibu yasiyo sahihi kabla ya kufika kwenye jibu sahihi.
Kama unajua kwamba square root ya 2 ni ndoogo kuliko 2, halafu mtu akakwambia square root ya 2 ni 10, utajua hilo jibu si sahihi hata kabla hujajua jibu sahihi ni lipi
Unaelewa kwamba unaniambia nithibitishe kitu ambacho sijawahi kusema?Thibitisha kama Hakuna Muumbaji na ulimwengu umejileta wenyewe.
Kwaio there is a creator of the universe?Unaelewa kwamba unaniambia nithibitishe kitu ambacho sijawahi kusema?
Unaelewa kwamba wewe hujui kufikiri kimantiki na hujui kusoma kwa ufahamu?
Unaelewa kwamba unalazimisha nithibitishe hoja ambayo mimi sijawahi kuitaja?
Hili hitimisho kutoka hoja zangu nalo linaweza kufikiwa na mtu asiyefikiria kimantiki tu.Kwaio there is a creator of the universe?
Nimekuuliza swali tu, umeenda kucopy page nzima na kuipaste hapa...Hili hitimisho kutoka hoja zangu nalo linaweza kufikiwa na mtu asiyefikiria kimantiki tu.
Huwezi kufikiri kimantiki.
Huwezi.
Una ugonjwa wa "logical non sequitur".
Huwezi kuunganisha hoja moja na nyingine bila kuiharibu kwa kuongeza hoja yako ya tatu ambayo haina muunganiko wowote na mbili zilizopo.
Logical non sequitur
https://www.logicallyfallacious.com/tools/lp/Bo/LogicalFallacies/136/Non-Sequitur
Non Sequitur
(also known as: derailment, “that does not follow”, irrelevant reason, invalid inference, non-support, argument by scenario [form of], false premise [form of], questionable premise [form of], non-sequitur)
Description: When the conclusion does not follow from the premises. In more informal reasoning, it can be when what is presented as evidence or reason is irrelevant or adds very little support to the conclusion.
Logical Form:
Claim A is made.
Evidence is presented for claim A.
Therefore, claim C is true.
Example #1:
People generally like to walk on the beach. Beaches have sand. Therefore, having sand floors in homes would be a great idea!
Explanation: As cool as the idea of sand floors might sound, the conclusion does not follow from the premises. The fact that people generally like to walk on sand does not mean that they want sand in their homes, just like because people generally like to swim, they shouldn’t flood their houses.
Example #2:
Buddy Burger has the greatest food in town. Buddy Burger was voted #1 by the local paper. Therefore, Phil, the owner of Buddy Burger, should run for president of the United States.
Explanation: I bet Phil makes one heck of a burger, but it does not follow that he should be president.
Exception: There really are no exceptions to this rule. Any good argument must have a conclusion that follows from the premises.
Tip: One of the best ways to expose non sequiturs is by constructing a valid analogy that exposes the absurdity in the argument.
Variations: There are many forms of non sequiturs including argument by scenario, where an irrelevant scenario is given in an attempt to support the conclusion. Other forms use different rhetorical devices that are irrelevant to the conclusion.
False or questionable premises could be seen as errors in facts, but they can also lead to the conclusion not following, so just keep that in mind, as well.
References:
Hyslop, J. H. (1892). The Elements of Logic, Theoretical and Practical. C. Scribner’s Sons.
Kama hujui ni heri usichangie kuliko kukashifu dini za watu.....usiongee vitu visivyo Na uhakika ukafikir utapata sifa hivyo ni kujishusha status yako....hakuna aliye kutukana Wala kukashifu dini yako Ila umejisikia tu kwasababu unachuki binafsiHaya mambo yapo sehemu nyingi tu kwenye Uislamu na Mtume mwenyewe alishayabariki.
Let’s Talk About Mutah, or Temporary Marriage in Islam
Nimekuuliza swali tu, umeenda kucopy page nzima na kuipaste hapa...
Kwaio, there is a creator of the universe?
Dini ya Kisslamu ilishaanza kujikashifu yenyewe miaka mingi kabla mimi sijazaliwa, kwenye Quran.Kama hujui ni heri usichangie kuliko kukashifu dini za watu.....usiongee vitu visivyo Na uhakika ukafikir utapata sifa hivyo ni kujishusha status yako....hakuna aliye kutukana Wala kukashifu dini yako Ila umejisikia tu kwasababu unachuki binafsi
Ni ushauri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hoja yako nyepesi....Dini ya Kisslamu ilishaanza kujikashifu yenyewe miaka mingi kabla mimi sijazaliwa, kwenye Quran.
Kwa kusema kwamba Allah atawaziba watu macho, masikio na kufanya mioyo yao iwe mizito wasimjue.
Na kwamba hawa hata msihangaike nao.
Halafu hao aliowazuia wasimjue, wasipomjua, atawahukumu vibaya sana kwa kutomjua.
Sasa huyo Mungu anayezuia watu wasimjue, halafu anawahukumu kwa sababu hawakumjua, unaamini yupo kweli?
Ndiomana ni kasema kama hujui kitu Huna uhakika ni heri ukae kimnya Na kama kuNa mtu kakusomea hiyo Quran hakukupa maana ya hiyo Aya vizurDini ya Kisslamu ilishaanza kujikashifu yenyewe miaka mingi kabla mimi sijazaliwa, kwenye Quran.
Kwa kusema kwamba Allah atawaziba watu macho, masikio na kufanya mioyo yao iwe mizito wasimjue.
Na kwamba hawa hata msihangaike nao.
Halafu hao aliowazuia wasimjue, wasipomjua, atawahukumu vibaya sana kwa kutomjua.
Sasa huyo Mungu anayezuia watu wasimjue, halafu anawahukumu kwa sababu hawakumjua, unaamini yupo kweli?
Nikisema Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo kwa sababu kimantiki dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe, unaelewa nasema nini?Bado hoja yako nyepesi....
Allah atakuepeleka kule utakapo mwenyewe, hata wahenga walisema, mtoto akililia wembe mpe.
Baada ya ushuhuda wote na dalili zote za uwepo wake, umeamua kutoamini, ndipo na yeye anakufumba macho na masikio, kwa sababu umechagua ivo, tena vipi unamlaumu Allah kwa ujinga wako mwenyewe? amekuletea kila dalili na wewe ukiwa unajua kuwa kweli lakini umeamua kupinga?
Yani ukija kwenye Quran, ndio utafeli asilimia 100. Kwenye post zangu zote sijatumia Quran kuwa reference kwa sababu huko ningekumaliza kwenye dakika sifuri tu.
Tuambie, kama hakuna Mungu ulimwengu ulikujaje?
Hujathibitisha Allah yupo, hujaeleza inakuwaje Allah mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anawaziba watu mioyo masikio na macho wasimjue, halafu anawahukumu kwa kutomjua.Ndiomana ni kasema kama hujui kitu Huna uhakika ni heri ukae kimnya Na kama kuNa mtu kakusomea hiyo Quran hakukupa maana ya hiyo Aya vizur
Pole sana mi nakusamehe kwasababu hujui unacho kifanya Na siwez kubishana Na wewe unaonwsha dhahir una chuki binafsi Pole sana nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app