Huwasingiziii ni kweliCha kusikitisha huwaacha mabinti wadogo na ujauzito bila msaada
Haya mambo yapo sehemu nyingi tu kwenye Uislamu na Mtume mwenyewe alishayabariki.Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
Hiyo mutah au temporary marriage, haijakubarika katika mainstream Islam, Qura'n au Sunna za mtume haipo....limeletwa na maadui wa uislamu kwa kutumia dhehebu la Washia wabao ishi Marican na Ulaya....Islam can't support such a foolish action.Haya mambo yapo sehemu nyingi tu kwenye Uislamu na Mtume mwenyewe alishayabariki.
Let’s Talk About Mutah, or Temporary Marriage in Islam
Hiyo mutah au temporary marriage, haijakubarika katika mainstream Islam, Qura'n au Sunna za mtume haipo....limeletwa na maadui wa uislamu kwa kutumia dhehebu la Washia wabao ishi Marican na Ulaya....Islam can't support such a foolish action.
Ni kweli atawaislamu tunaamini hamna Mungu isipo kua "Allah" tu. Hiyo ndo "kilimah shahadah" ndo ufunguo wa kuingia uslamuNa hapo ndipo mimi ninaposema Mungu hayupo, hizi zote ni habari za watu tu, angekuwepo, kusingekuwa na utata wote huu katikahabari zake.
Kwahiyo Allah ni kinyama si Mungu?Ni kweli atawaislamu tunaamini hamna Mungu isipo kua "Allah" tu. Hiyo ndo "kilimah shahadah" ndo ufunguo wa kuingia uslamu
endelea kuamini hakuna mungu,hakuna anaekuzuwia..mlolongo wako wa kifikra kufikia hitimisho huwa wa kijuha japo unajiona unajua kufikiri..ati utata!!?..unahukumu kitu wakati hukijui zaidi ya kusikiasikia tu!Kwahiyo Allah ni kinyama si Mungu?
umejuajeWasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
Si kwamba naamini hakuna Mungu, huyo mnayesema Allah hayupo.endelea kuamini hakuna mungu,hakuna anaekuzuwia..mlolongo wako wa kifikra kufikia hitimisho huwa wa kijuha japo unajiona unajua kufikiri..ati utata!!?..unahukumu kitu wakati hukijui zaidi ya kusikiasikia tu!
Vocation ndio nini?Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
ndiyo maana nakwambia huna ujualo,mafunzo tofauti ya allah yapi?,vitabu vya tafsiri tata vipi?(kitsbu cha allah ni quraan tu),hajajificha ila una uwezo mdogo wa kufikiri,kitabu chake(quraan) hakina contradictionSi kwamba naamini hakuna Mungu, huyo mnayesema Allah hayupo.
Angekuwepo, watu wanaotaka kumuamini wasingekuwa na mafunzo tofautitofauti.
Asingeandikwa mahsusi kwa watu fulani.
Aingejifichajificha asijulikane kwa hakika.
Asingeandikwa kwenye vitabu vye tafsiri tata.
Habari zake zisingekuwa na contradiction.
Hayo yote yanawezekana kwa sababu hayupo, ni hadithi za kutungwa na watu tu.