mnyepe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2008
- 1,907
- 661
Najaribu kufikiria IQ ya Allah inaweza kuwaje. Nadhani kitu kama 32 hivi
Nakuhakikishia Mungu hatolewi dhihaka kiasi hichi. Utakufa kifo kibaya sana
Najaribu kufikiria IQ ya Allah inaweza kuwaje. Nadhani kitu kama 32 hivi
Hivi nyie mna cha maana kwenye quran?> Maana kila siku lazima mtumie Biblia!!! Hakika Quran imejaa shaka na haina uwezo wa kujitetea bila ya usaidizi wa Biblia.
Allah inaandikwa hivi katika lugha ya Biblia اللهُNajaribu kufikiria IQ ya Allah inaweza kuwaje. Nadhani kitu kama 32 hivi
Ilaha ni lugha gani, eleza hilo kwanza ili nikupe maana ya ILAHA.Nipe tafsir ya "ILAHA" kwa Kiswahili?
Muislamu anapotumia Biblia kujibu hoja zako ni kwa sababu wewe Ishmael unasema hutaki ayat za Quran kwa sababu huiamini Quran.Hivi nyie mna cha maana kwenye quran?> Maana kila siku lazima mtumie Biblia!!! Hakika Quran imejaa shaka na haina uwezo wa kujitetea bila ya usaidizi wa Biblia.
Wewe unayo Taurat, Zabur na Injir? Kama unayo,Umeipata wapi?Utaamini vipi wakati wewe huna hata Taurat, Zabur, Injir? Kwanza tuletee hivyo vitabu ndio tuelewe kuwa Allah ni Mungu au longalonga tu.
Najaribu kufikiria IQ ya Allah inaweza kuwaje. Nadhani kitu kama 32 hivi
= kuripuana.
Wangekuwa na IQ ndogo Wamerekani wangetoka mbio walipojaribu kuvamia? Fikiri.
Walitandikwa mpaka wakakimbia.
Ishmael yuko njiani kurudi katika uislamu. Anatafuta kumjua Allah. Walikuwepo akina-Ishmael na leo wanajivunia uislamu.Kwa hiyo Ishmael lengo ilikuwa ni kuutukana tu Uislam wala haikuwa kuonesha Somalia wana IQ ndogo maana kuna nchi nyingi tu ziko chimi ya Somalia lakini wala hukuzitaja na wala hazikuwa focus ya Thread yako, na hata IQ ya Tanzania 72 haitofautiani sana na 68 ya Somalia na hizo rasilimali ulizotaja kama bahari hata Tanzania zipo na hatujafanya lolote la maana kunufanika nazo ila umeona Somalia tu! haukuwa na haja ya kuzunguka sana ungeeleza tu moja kwa moja chuki yako juu ya Uislam! there will always be haters!
Kwa Lafudhi yenu.....Kitanga, kiunguja or whatever!........NI HIYO KURIPUANA ......Yetu ni KULIPUANA.....na ni fasaha!
Pia ni WAMAREKANI....sio WAMEREKANI....pole kikongwe.
Nakuhakikishia Mungu hatolewi dhihaka kiasi hichi. Utakufa kifo kibaya sana
Ishmael ni kondoo aliyepotea kwa sasa, lakini anatafuta njia ya kurudi nyumbani. Walikuwepo wengine kama hawa katika video.Kwa hiyo Ishmael lengo ilikuwa ni kuutukana tu Uislam wala haikuwa kuonesha Somalia wana IQ ndogo maana kuna nchi nyingi tu ziko chimi ya Somalia lakini wala hukuzitaja na wala hazikuwa focus ya Thread yako, na hata IQ ya Tanzania 72 haitofautiani sana na 68 ya Somalia na hizo rasilimali ulizotaja kama bahari hata Tanzania zipo na hatujafanya lolote la maana kunufanika nazo ila umeona Somalia tu! haukuwa na haja ya kuzunguka sana ungeeleza tu moja kwa moja chuki yako juu ya Uislam! there will always be haters!
Nonda.....ya kwanza ni kama vile kwenye uchaguzi na ya pili ni msosi/mlo..
OVA!