Somalia Average IQ is 68, "AMONG THE LOWEST IN AFRICA"

Somalia Average IQ is 68, "AMONG THE LOWEST IN AFRICA"

Status
Not open for further replies.
........Unabisha kuwa hawana IQ ndogo?. Nchi yenyewe wengi wao ni wafuasi wa ile dini ambayo hata Mtume wao alikuwa hajui kusoma wala kuandika, sasa unashangaa kwa hao Magaidi kuwa na IQ ndogo?. Nabii mbumbumbu na wafuasi lazima wawe majuha kabisa aha ha ha ha!!. Huwezi kujilipua kama una akili timamu.

Like a father, like a son!!
Ongeza maarifa hapa, inawezekana utaacha mihemko.

Link http://en.wikipedia.org/wiki/The_100:_A_Ranking_of_the_Most _Influential_Persons_in_Histor y

Last edited by a moderator:
........Unabisha kuwa hawana IQ ndogo?. Nchi yenyewe wengi wao ni wafuasi wa ile dini ambayo hata Mtume wao alikuwa hajui kusoma wala kuandika, sasa unashangaa kwa hao Magaidi kuwa na IQ ndogo?. Nabii mbumbumbu na wafuasi lazima wawe majuha kabisa aha ha ha ha!!. Huwezi kujilipua kama una akili timamu.

Like a father, like a son!!
Ingawaje unajificha , unajulikana. Lini wewe utarudi kwenye njia sahihi?

Usichoke kujielimisha. Gonga /bofya links.

Link 1.. Arnoud van Doorn: from anti-Islamic film-maker to hajj pilgrim | World news | The Guardian

Link 2. Geert Wilders Confidante and Former Far-Right Politician Arnoud Van Doorn Converts to Islam | loonwatch.com

Link 3. The Deen Show Arnoud Van Doorn - Former Islamophobe accepts Islam | The Deen Show with Eddie

Kama umepata ujasiri na umeweza kusoma habari za huyu mutu, sasa msikilize katika hii video.

Last edited by a moderator:
HII ni product ya IQ 68
1975129_270992236401839_391104  646_n.jpg

HIVI NDIVYO VITU VYA KIKRISTO WANAVYOJIFUNZA KANISANI

[video]http://www.oprah.com/oprahshow/Full-Episode-200-Adult-Men-Who-Were-Molested-Come-Forward-Video[/video]
 
HIVI NDIVYO VITU VYA KIKRISTO WANAVYOJIFUNZA KANISANI

[video]http://www.oprah.com/oprahshow/Full-Episode-200-Adult-Men-Who-Were-Molested-Come-Forward-Video[/video]

IQ 68 at work from muzzrat
1422473_320007244833671_342579  1238216892101_n.jpg
 
Jibu hayo maswali acha longo longo, Ishmael.

Wewe unataka uoneshwe vitabu wakati huo huo huna macho ya kuvionea.
Ili kukufungua macho yako yaweze kuona vitabu hivyo na akili yako iweze kufikiri ,jibu hayo maswali.

Wanaofatilia mjadala, wanasubiri ujibu maswali ili nao pia waone vitabu.

Huna ubavu wa kujibu, Ishmael unajulikana hapa JF kwa longo longo na mihemko. Utajibu!!??
Wewe na nduguzako pamoja na Allah ndio mmeshindwa kunionyesha wapi ilipo, Taurat, Zabur na Injil. Huu ni msiba amkubwa sana kwako.

1. Hivi wewe unamwamini Allah?
2. Kama unamwamini Allah, je Unaamini aliyo sema kwenye Quran?
3. Kama unaamini aliyosema kwenye Quran, BASI Nionyeshe wapi ilipo Taurat, Zabur na Injili anazodai Allah wenu kuwa aliziteremsha kabla ya Quran/

Ni hayo tu. Usikimbie na jibu maswali yangu.
 
Ni comments za kishetani kama hizi ndizo zinazozidi kuchochea moto wa udini, na matunda yake hayapo mbali! by the way Islam will always flourish and very soon will be the greatest religion in the world, mtahangaika sana kuuchafua

Mmmh. Mbona wenzako wanasema Islam is the greatest religion in the world? Au wao wamewah kidogo?
 
Ismael mkimbiaji hapa jukwaani ni wewe. Unapoona umekwama unaanza matusi, kukebehi.

Kuna vitu vya msingi ni lazima ukubali kwanza ili uoneshwe Taurat, au Injiil.

Kwanza jibu haya maswali.

Je Mungu alituma wajumbe?
Mjumbe/mtume yupi alipewa Taurat?
Mtume/mjumbe yupi alipewa Injiil?
Changamoto iko kwako, jibu haya maswali ili tuendelee.
Usijaribu kukimbia.

Wewe na ndugu zako pamoja na Allah ndio mmeshindwa kunionyesha wapi ilipo, Taurat, Zabur na Injil. Huu ni msiba amkubwa sana kwako.

1. Hivi wewe unamwamini Allah?
2. Kama unamwamini Allah, je Unaamini aliyo sema kwenye Quran?
3. Kama unaamini aliyosema kwenye Quran, BASI Nionyeshe wapi ilipo Taurat, Zabur na Injili anazodai Allah wenu kuwa aliziteremsha kabla ya Quran/

Ni hayo tu. Usikimbie na jibu maswali yangu.
 
Who is a common denominator here:
1. Somalia - Islamist al shabaab = Muslims
2. Yemen- Tribal Islamist = Muslims
3. ISIS = are Muslims
4. Boko Haram are Muslims
5. Hamas are Muslims
6. Al Qaeda re Muslims.

I mean, who is the common denominator here?

Taliban are Muslims
Abu Sayaff (Philippines) are muslims
Hezbollah are muslims
 
JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?

Makanisa ya Kikristo yanafunza ya kuwa Yesu Kristo si kama kuwa ni Mwana wa Mungu tu, bali hakika ni Mungu khasa. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni mmoja. Watatu katika mmoja, na mmoja katika watatu. Wote ni wa milele, wote ni sawa. Yesu ni Mungu, na Mungu ni Yesu. Hiyo ni imani ya Kikristo, ambayo inaaminiwa na karibu Wakristo wote. Hebu tuifunue Biblia tutazame inasema nini katika jambo hili?
Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema: "Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo." Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja. Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa. Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.
Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:
Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:
Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:

Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu? Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa? Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:
Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize: Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu? Au nini alikusudia aliposema: "Mungu wangu naye ni Mungu wenu"? Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake. La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo. Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.
Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.
Kama haujaelewq hapa basi ww shuleni ulikuwa kilaza ulifaulu kwa kukariri...

wewe kasome Yohana 3:16 kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamtoa Mwanawe pekee ,ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.Na Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi ;asiyemwamini yeye AMEKWISHA kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Na kukusaidia ili uelewe kuhusu kitabu cha wakorinto juu ya maneno ya mt paulo kasome 1wakorintho 15:12-24 utaelewa na uonyeshe sehemu yesu aliyosema yeye ni mungu.
 
Acha kubeba imani bila kutumia akili...haya maneno aliyasema nani?
 
Medisonmuta isikusumbue kuwa Yesu ni Mungu na nisawa na baba na Roho mt.inngia darasani uelimishwe.
1.Yesu ni Mungu hasa nitakueleza kidogo lakini kwanza nikukumbushe Mungu ana uwezo wote.
Maandiko yanasema wazi kuwa Yesu alikuwa Mungu na ili kutukomboa akajifanya kuwa mwanadamu(Kumbuka Mungu ana uwezo wote hata kujifanya mwanadamu vile apendavyo)
Kwa hiyo alipokuja duniani alikuwa kwa mfano wa mwanadamu kumbuka hata kutungwa kwake mimba na kuzaliwa)
Hivyo ni kusema Yesu alipokuwa duniani alijifanya kama sisi iliazibebe dhambi zetu.Na alipokufa alifufuka na kuendelea na uungu wake.Hiyo ni theologia na biblical ni ngumu kidogo kwako ila usijal unaweza hata kugoogle utapata maelezo na vifungu vya kutosha kabisa.
 
KANSIGO unazungumzia Islam ya waarab au ipi? Watu wenyewe wanauana kila kukicha labda ungesema Islam itaisha kwa data vifo vya waarab /waislam wanavyouana
 
Nilikuwa sijui kumbe Muhamad alikufa kwa kupewa chakula chenye sumu?Na nani alimuwekea hiyo sumu?Na kwa nn aliwekewa sumu?
 
Huyu mungu watu ambaye watu wanaadhimisha kifo chake kila mwaka ni kiboko
 
Medisonmuta isikusumbue kuwa Yesu ni Mungu na nisawa na baba na Roho mt.inngia darasani uelimishwe.
1.Yesu ni Mungu hasa nitakueleza kidogo lakini kwanza nikukumbushe Mungu ana uwezo wote.
Maandiko yanasema wazi kuwa Yesu alikuwa Mungu na ili kutukomboa akajifanya kuwa mwanadamu(Kumbuka Mungu ana uwezo wote hata kujifanya mwanadamu vile apendavyo)
Kwa hiyo alipokuja duniani alikuwa kwa mfano wa mwanadamu kumbuka hata kutungwa kwake mimba na kuzaliwa)
Hivyo ni kusema Yesu alipokuwa duniani alijifanya kama sisi iliazibebe dhambi zetu.Na alipokufa alifufuka na kuendelea na uungu wake.Hiyo ni theologia na biblical ni ngumu kidogo kwako ila usijal unaweza hata kugoogle utapata maelezo na vifungu vya kutosha kabisa.

Kwa hiyo unataka kuniambia huyo Yesu ndiye anabeba dhambi za wanadamu na sisi wanadamu hatuna dhambi.Ipitie biblia kwa umakini dada uone contradictions kibao kuliko kutumia hisia. Kuna misconceptions za ujanja zinapachikwa kwenye fikra za watu. Binafsi hadi ile movie ya Brian Decon huwa naiangalia hakuna kitu kama hicho. Yesu ni nabii na yale yote alikuwa anafanya kwa idhini ya Mola yake.
 
Usijaribu kukimbia.

Wewe na ndugu zako pamoja na Allah ndio mmeshindwa kunionyesha wapi ilipo, Taurat, Zabur na Injil. Huu ni msiba amkubwa sana kwako.

1. Hivi wewe unamwamini Allah?
2. Kama unamwamini Allah, je Unaamini aliyo sema kwenye Quran?
3. Kama unaamini aliyosema kwenye Quran, BASI Nionyeshe wapi ilipo Taurat, Zabur na Injili anazodai Allah wenu kuwa aliziteremsha kabla ya Quran/

Ni hayo tu. Usikimbie na jibu maswali yangu.
Ishamael

Nini kinakufanya uogope kujibu haya maswali yaliyoenda shule?

Je Yesu alikuwa anatembea na kitabu (kama wewe unavyobeba Biblia) kuhubiri neno la Mungu?
Je unafikiri Yesu alikuwa anasema maneno yake binafsi au maneno/ujumbe aliopewa na Mungu?
Je Yesu alikuwa anahubiri maneno yake mwenyewe? Au alikuwa anafikisha tu ujumbe aliopewa aufikishe kwa jamii yake/watu wake?

Kama huogopi kitu, utaonekana ukijibu haya maswali. Do you dare? I challenge you, Ishmael.
 
Back
Top Bottom