Somalia Average IQ is 68, "AMONG THE LOWEST IN AFRICA"

Status
Not open for further replies.
Medisonmuta isikusumbue kuwa Yesu ni Mungu na nisawa na baba na Roho mt.inngia darasani uelimishwe.
1.Yesu ni Mungu hasa nitakueleza kidogo lakini kwanza nikukumbushe Mungu ana uwezo wote.
Maandiko yanasema wazi kuwa Yesu alikuwa Mungu na ili kutukomboa akajifanya kuwa mwanadamu(Kumbuka Mungu ana uwezo wote hata kujifanya mwanadamu vile apendavyo)
Kwa hiyo alipokuja duniani alikuwa kwa mfano wa mwanadamu kumbuka hata kutungwa kwake mimba na kuzaliwa)
Hivyo ni kusema Yesu alipokuwa duniani alijifanya kama sisi iliazibebe dhambi zetu.Na alipokufa alifufuka na kuendelea na uungu wake.Hiyo ni theologia na biblical ni ngumu kidogo kwako ila usijal unaweza hata kugoogle utapata maelezo na vifungu vya kutosha kabisa.
Dada betty

Unamkashifu Yesu mwana wa Mariamu.
Yesu si Mungu n hajawahi kuwa Mungu. Hilo andiko unalolitaja ni andiko la Paulo na uzushi wake wa trinity/utatu.
Kukusaidia tu, Ninyi wakristo mnasema mko karibu sana na wayahadi na dini yao. Sasa soma kuhusu Mungu katika hiyo dini ndio utaelewa Paulo amekupiga changa la macho.

Unaelewa maana ya The only True God?

Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.

Huyo Mungu ambaye Yesu anamzungumzia hapo ni nani (ni yupi)?

Je unaelewa pia kuwa Yesu ana Mungu wake?
Mungu wa Yesu ni Yupi?

Bear in mind, there is no mystery as to the origins of the Trinity, nor is there any secret for how this aberrant doctrine emerged. The doctrine of the Trinity was forged out of the crucible of the Catholic Church long after the Christian century. It is, therefore, no wonder that this pagan doctrine was unknown to authors of the New Testament (click here to see list). Church history reveals that it was not until three hundred years after the birth of Christianity that the doctrine of the Bianity (325 C.E.) and Trinity (381 C.E.) received formal approval in the Christian community. These well documented events occurred under circumstances rife with contention, political agitation, and radical dissension in the early Church.
In essence, the Jewish people never believed in a Trinity, and the Church adopted it under enormous political pressure from the most pagan segments of the young Catholic Church. Understandably, missionaries undertake a formidable task when they seek to prove this fourth century doctrine from a radically monotheistic Torah which is timeless.

Link https://outreachjudaism.org/elohim-plural/
 
Usijaribu kukimbia.

Wewe na ndugu zako pamoja na Allah ndio mmeshindwa kunionyesha wapi ilipo, Taurat, Zabur na Injil. Huu ni msiba amkubwa sana kwako.

1. Hivi wewe unamwamini Allah?
2. Kama unamwamini Allah, je Unaamini aliyo sema kwenye Quran?
3. Kama unaamini aliyosema kwenye Quran, BASI Nionyeshe wapi ilipo Taurat, Zabur na Injili anazodai Allah wenu kuwa aliziteremsha kabla ya Quran/

Ni hayo tu. Usikimbie na jibu maswali yangu.

Unaona umeshindwa kabisa kujibu maswali yaliyoenda shule.
Nitakujibu maswali yako utakapofanya ustaarabu wa kujibu maswali nilokuuliza.
After all, ni wewe ndio unataka kuiona Injiil. Ukishindwa kujibu hayo maswali huwezi oneshwa injil. The choice is yours.
 
Dada betty

Unamkashifu Yesu mwana wa Mariamu.
Yesu si Mungu n hajawahi kuwa Mungu. Hilo andiko unalolitaja ni andiko la Paulo na uzushi wake wa trinity/utatu.
Kukusaidia tu, Ninyi wakristo mnasema mko karibu sana na wayahadi na dini yao. Sasa soma kuhusu Mungu katika hiyo dini ndio utaelewa Paulo amekupiga changa la macho.

Unaelewa maana ya The only True God?

Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.

Link https://outreachjudaism.org/elohim-plural/
Weka na aya inayo fuatia, ili nikuumbue mchana kweupeee
 
Allah alimpa nani hii Injil, Ishmael?
Wewe ilishwa shindwa ku prove kuwa Allah aliteremsha Injil. Hivyo swali lako ni irrelevant MPAKA Unionyeshe ipo wapi Injil/
 
Unaona umeshindwa kabisa kujibu maswali yaliyoenda shule.
Nitakujibu maswali yako utakapofanya ustaarabu wa kujibu maswali nilokuuliza.
After all, ni wewe ndio unataka kuiona Injiil. Ukishindwa kujibu hayo maswali huwezi oneshwa injil. The choice is yours.
Usijaribu kukimbia.

Wewe na ndugu zako pamoja na Allah ndio mmeshindwa kunionyesha wapi ilipo, Taurat, Zabur na Injil. Huu ni msiba amkubwa sana kwako.

1. Hivi wewe unamwamini Allah?
2. Kama unamwamini Allah, je Unaamini aliyo sema kwenye Quran?
3. Kama unaamini aliyosema kwenye Quran, BASI Nionyeshe wapi ilipo Taurat, Zabur na Injili anazodai Allah wenu kuwa aliziteremsha kabla ya Quran/

Ni hayo tu. Usikimbie na jibu maswali yangu.
 
Usijaribu kukimbia.

Wewe na ndugu zako pamoja na Allah ndio mmeshindwa kunionyesha wapi ilipo, Taurat, Zabur na Injil. Huu ni msiba amkubwa sana kwako.

1. Hivi wewe unamwamini Allah?
2. Kama unamwamini Allah, je Unaamini aliyo sema kwenye Quran?
3. Kama unaamini aliyosema kwenye Quran, BASI Nionyeshe wapi ilipo Taurat, Zabur na Injili anazodai Allah wenu kuwa aliziteremsha kabla ya Quran/

Ni hayo tu. Usikimbie na jibu maswali yangu.
Ishmael na dada betty
Nimeona nimpeni zawadi hii.
Ishmael dalili zote zinaonesha kuwa wewe tayari unampenda Allah. Allah amejaa katika nafsi yako, katika mawazo yako, katika moyo wako. Hakuna siku, saa au dakika ambayo humkumbuki Allah. Hiyo ndio katika miujiza ya Allah.
Pia inaonekana huna utulivu kabisa wa nafsi, unataka kumfikia Allah lakini hujui ufanye nini.

Sasa usiwe na wasiwasi, Allah anakwambia hivi: Link Surat Qaf [50:16] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Pia kama utafuata ushauri wa hawa ex-ndugu zako, utakuwa umerudi kwenye fitra ambayo ulizaliwa nayo kabla Paulo kujaribu kukuekea pazia jeusi.

Ya, Allah muongezee mapenzi Ishmael asiweze kukusahau hata kwa sekunde moja. na mfungue moyo wake auone ukweli na kuufuata. Ameen.
 
Last edited by a moderator:
Tanzanians IQ average is as closer to Somalis IQ than Kenyans

kweli sie maselule
 
Ishmael na dada betty
Nimeona nimpeni zawadi hii.
Ishmael dalili zote zinaonesha kuwa wewe tayari unampenda Allah. Allah amejaa katika nafsi yako, katika mawazo yako, katika moyo wako. Hakuna siku, saa au dakika ambayo humkumbuki Allah. Hiyo ndio katika miujiza ya Allah.
Pia inaonekana huna utulivu kabisa wa nafsi, unataka kumfikia Allah lakini hujui ufanye nini.

Sasa usiwe na wasiwasi, Allah anakwambia hivi: Link Surat Qaf [50:16] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Pia kama utafuata ushauri wa hawa ex-ndugu zako, utakuwa umerudi kwenye fitra ambayo ulizaliwa nayo kabla Paulo kujaribu kukuekea pazia jeusi.

Ya, Allah muongezee mapenzi Ishmael asiweze kukusahau hata kwa sekunde moja. na mfungue moyo wake auone ukweli na kuufuata. Ameen.
Nashukuru kwa Video zako, lakini kwa bahati nzuri zimejibu maswali yangu kwako kuwa Allah sio Mungu na Allah hakuwai sema kuwa Uislam umetokaka kwangu. Zaidi ya hapo pokea na wewe zawadi hii imabyo imfukua ndugu mmoja aliye kuwa na dini kama wewe.

Last edited by a moderator:
Weka na aya inayo fuatia, ili nikuumbue mchana kweupeee

Unakusudia aya hii?
"Eli, Eli, lema sabachthani?" (which means "My God, my God, why have you forsaken me?").

Au hii?

By myself I can do nothing; I judge only as I hear, and my judgment is just, for I seek not to please myself but him who sent me
 
Nashukuru kwa Video zako, lakini kwa mbahati nzuri zimejibu maswali yangu kwako kuwa Allah sio Mungu na Allah hakuwai sema kuwa Uislam umetokaka kwangu. Zaidi ya hapo pokea na wewe zawadi hii imabyo imfukua ndugu mmoja aliye kuwa na dini kama wewe.

Nimeona hapo imeandikwa, Jesus(he) himself died.
Ni kweli hayo?
 
Last edited by a moderator:
Unakusudia aya hii?
"Eli, Eli, lema sabachthani?" (which means "My God, my God, why have you forsaken me?").

Au hii?

By myself I can do nothing; I judge only as I hear, and my judgment is just, for I seek not to please myself but him who sent me
Nilisha kwambia kuwa Jesus had TWO NATURES. Mbona unajisahaulisha?
 
Mbona unapenda sana kuchakachua...
Ulinifundisha kuchakachua au ?
Wewe utaishia kama huyu jamaa, but it will be better for you and your soul.

Last edited by a moderator:
Ulinifundisha kuchakachua au ?
Wewe utaishia kama huyu jamaa, but it will be better for you and your soul.

[video=youtube;n4nUIUrNoOs]https://www.youtube.com/watch?v=n4nUIUrNoOeo]
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa Video zako, lakini kwa bahati nzuri zimejibu maswali yangu kwako kuwa Allah sio Mungu na Allah hakuwai sema kuwa Uislam umetokaka kwangu. Zaidi ya hapo pokea na wewe zawadi hii imabyo imfukua ndugu mmoja aliye kuwa na dini kama wewe.

Vipi umezipenda video kama unavyompenda Allah.

Sasa pata muda , unyonye elimu kwenye hizo video, upate kuwa Ustadh Ishmael.

Mwanzoni ulianza kama utani vile kwa kejeli na madoido na sasa huwezi tena kutengana na Allah.
 
Back
Top Bottom