Somalia Average IQ is 68, "AMONG THE LOWEST IN AFRICA"

Status
Not open for further replies.
Vizuri umeona udhaifu wako.Ingawaje hujakiri kuwa ulidhani nimekiri lakini umeeleweka, Ishmael.
Wewe ndio unasema hivyo kila siku kuwa Yesu alikufa. Ni wazi utakuwa unafuata maandiko ya Paulo.
Bado haujajibu swali.

Nani alikwambia kuwa Yesu alikufa?
 
The intelligence scores came from work carried out earlier this decade by Richard Lynn, a British psychologist, and Tatu Vanhanen, a Finnish political scientist, who analysed IQ studies from 113 countries, and from subsequent work by Jelte Wicherts, a Dutch psychologist.

The country Somalia has an average IQ of 68

National IQ Scores - Country Rankings

Somalia wako chini sana, ndio maana wapo mafukara sana
 
The intelligence scores came from work carried out earlier this decade by Richard Lynn, a British psychologist, and Tatu Vanhanen, a Finnish political scientist, who analysed IQ studies from 113 countries, and from subsequent work by Jelte Wicherts, a Dutch psychologist.

The country Somalia has an average IQ of 68

National IQ Scores - Country Rankings

Nafikiri North Korea itakuwa inaongoza coz wale jamaa shule yao ni ngumu nawanasoma zaidi shule za pale pale nchini..!
 
JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?

Makanisa ya Kikristo yanafunza ya kuwa Yesu Kristo si kama kuwa ni Mwana wa Mungu tu, bali hakika ni Mungu khasa. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni mmoja. Watatu katika mmoja, na mmoja katika watatu. Wote ni wa milele, wote ni sawa. Yesu ni Mungu, na Mungu ni Yesu. Hiyo ni imani ya Kikristo, ambayo inaaminiwa na karibu Wakristo wote. Hebu tuifunue Biblia tutazame inasema nini katika jambo hili?
Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema: "Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo." Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja. Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa. Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.
Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:
Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:
Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:

Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu? Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa? Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:
Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize: Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu? Au nini alikusudia aliposema: "Mungu wangu naye ni Mungu wenu"? Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake. La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo. Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.
Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.
Kama haujaelewq hapa basi ww shuleni ulikuwa kilaza ulifaulu kwa kukariri...
 
Darasa zuri sana hili Mkuu wangu.
Na ni bishara njema kwa wenye Busara na wenye Kutaka kuepuka Adhabu ya Moto wa Jahannamu.

Tunashukuru sana kwa ukumbusho.
 
Ni kwa sababu tuna idadi kubwa ya waislam kuliko Kenya na Uganda ndio wanaturudisha nyuma

Mangi Muitori, aisee wewe unakili sana

Sasa tazama sarakasi hapa.
Gwajima anawaambia kuwa Anafufua wafu! Na nyie makafiri woote mnatambua kwa asilimia 100% kuwa UWEZO HUO HANA!
Lkn Juu ya hivyo ana wafuasi wengi kuliko MAKANISA YOTE TANZANIA.

Sasa Hayo Maendeleo kweli Yataletwa na Akili Kuambiwa za namna hii?
Jaribu Kumwambia mwanafunzi yyt wa darasa la saba kuwa MFU anaweza KUFUFULIWA na GWAJIMA uone km ATAKUBALI.

Ndio Gwajima Akauliza " ni nani aliyewalogaaaaaaa! ????
 
Last edited by a moderator:
Sasa jamaa wana jiripua wewe unafikri ndio IQ kubwa hiyo? Kule Somalia kuna misiba kila sekunde.

Usisahau na Kenya Wenye IQ kubwa vilio ni vingi tu!
Labda we mwenye IQ isio ya kawaida Ukawasaidie Wenzako Kudhibiti hao wenye IQ ndogo manake AMERICA pamoja na WAISRAELI wametoka baruti.
 
Najaribu kufikiria IQ ya Allah inaweza kuwaje. Nadhani kitu kama 32 hivi
Allah inaandikwa hivi katika lugha ya Biblia اللهُ

Sasa angalia Allah katika Bibilia hapa: link Genesis 1 :: Arabic/English Online Bible
tafsiri yake utaipata hapa Genesis 1 :: Arabic/English Online Bible

Utakutana na haya:
فِي الْبَدْءِ خَلَقَ اللهُ السَّمَاوَاتِ وَالارْضَ. وَكَانَتِ الارْضُ خَرِبَةً وَخَالِيَةً وَعَلَى وَجْهِ الْغَمْرِ ظُلْمَةٌ وَرُوحُ اللهِ يَرِفُّ عَلَى وَجْهِ الْمِيَاهِ. وَقَالَ اللهُ:
In the beginning God created the heavens and the earth. The earth was without form, and void; and darkness was on the face of the deep. And the Spirit of God was hovering over the face of the waters.
Then God said,
 
Tanzania is the third among East African Countries?!,.........disappointing!

Itaacha kuwa ya tatu kwa ujinga km bado kuna watu wazima mpaka leo hii 2015 wanakubali kuwa GWAJIMA ANAFUFUA WAFU?

Itaacha kuwa ya tatu kwa Ujinga km mtu mzima anafanya uzinifu halafu anakwenda Kwa Mtu aliyezini na Mke wa Mtu AMSAMEHE DHAMBI ZAKE?

Hii nchi Haiwezi kuendelea Km Vichwa vya watu bado Maji namna hii.
 
Najaribu kufikiria IQ ya Allah inaweza kuwaje. Nadhani kitu kama 32 hivi
Allah inaandikwa hivi katika lugha ya Biblia اللهُ

Sasa angalia Allah katika Bibilia hapa: link Genesis 1 :: Arabic/English Online Bible
tafsiri yake utaipata hapa Genesis 1 :: Arabic/English Online Bible

Utakutana na haya:
فِي الْبَدْءِ خَلَقَ اللهُ السَّمَاوَاتِ وَالارْضَ. وَكَانَتِ الارْضُ خَرِبَةً وَخَالِيَةً وَعَلَى وَجْهِ الْغَمْرِ ظُلْمَةٌ وَرُوحُ اللهِ يَرِفُّ عَلَى وَجْهِ الْمِيَاهِ. وَقَالَ اللهُ:
In the beginning God created the heavens and the earth. The earth was without form, and void; and darkness was on the face of the deep. And the Spirit of God was hovering over the face of the waters.
Then God said,

Mpinga shetani vipi baada ya kumsoma Allah kwenye biblia bado unadhani ana kitu kama 32?
 
Naona vijana wenye IQ za somalia wameingia Disco.
 
Nipe tafsir ya "ILAHA" kwa Kiswahili?
 
Wewe Ishmael na 2013 ndio mmeniambia kupitia maandiko yenu. Lakini mimi siamini hivyo.
Utaamini vipi wakati wewe huna hata Taurat, Zabur, Injir? Kwanza tuletee hivyo vitabu ndio tuelewe kuwa Allah ni Mungu au longalonga tu.
 
JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?

..
Hivi nyie mna cha maana kwenye quran?> Maana kila siku lazima mtumie Biblia!!! Hakika Quran imejaa shaka na haina uwezo wa kujitetea bila ya usaidizi wa Biblia.
 
Sasa jamaa wana jiripua wewe unafikri ndio IQ kubwa hiyo? Kule Somalia kuna misiba kila sekunde.

Naam, umenena vyema kabisa.

Sasa fikiri, katika hao wanaouliwa kila sekunde lazima kuna japo wawili watatu wenye ndugu zao ambao na wao wanakuwa hawana faida tena ya kuishi duniani kwa kuondokewa na wa kwao, ndiyo wanafanya kama haya ya Garissa. Au hilo hulioni?

Wakenya waache tu hii vita, haiwasaidii kitu wao na pia haiwasaidii kitu Wasomali, naona wanauana tu bila mpango.
 
Ulishaona msiba kwa Wasomali? ukifa unazikwa, mambo mengine yanaendelea kama kawaida.
Somalia famine 'killed 260,000 people' - BBC News

somali-famine.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom