Mshauri nini aboreshe, utakua umemsaidia sanaPoor tangazo la biashara
Jipange uje na tangazo bora zaidi mkuu
Si anauza vitabu bwashee?Wewe umeingiza shillingi ngapi mpaka sasa?? 🤔 🤔
Hapa naona kama tunapigwa na kitu kizito, kama yeye tayari ni tajiri kupitia hivyo vitabu, angegawa tu bure ili nasi tufaidike.Si anauza vitabu bwashee?
Soma kwanza kitabu " SELL LIKE CRAZY" upate kujua jinsi ya kuandika matangazo yanayovutia1. Kitabu Cha Baba tajiri, baba MASKINI.
2. Mtu tajiri zaidi babeli.
Kila kitabu kinauzwa Bei ya 10,000 Tsh, nicheki WhatsApp 0756704145
View attachment 3461671
Kama kusoma vitabu ingekuwa ndiyo njia ya kuwa tajiri basi uchumi wa Dunia ungekuwa unashikiliwa na Maprof.1. Kitabu Cha Baba tajiri, baba MASKINI.
2. Mtu tajiri zaidi babeli.
Kila kitabu kinauzwa Bei ya 10,000 Tsh, nicheki WhatsApp 0756704145
View attachment 3461671