Soma tu unaweza ukapata fundisho!!!!

Soma tu unaweza ukapata fundisho!!!!

Aisee!! Huko ni kutojitambua pamoja na hako kaelimu alikopewa binti kija! Mungu c abdallah atalipwa hapa hapa duniani! Anaweza kosa hata hyo ndoa yake kwa mabula! Umenikumbsha msichana flani alikuwa muongo kupitilza aliwezakumdangnya hadi kabila lake,aisee kikowapi? Jamaa baada ya kujua ukweli alimuacha mazima !hadi leo binti analia kumpoteza bwana huyo! Cjui kwanni huwa wanafanya hvyo! Aibu yao!!
 
ukijikubali na kukubali hali yako na ulikotoka,kwamwe hautaionea aibu familia yako
 
Bwana Yesu asifiwe....

Asalaam Aleikum....

Tumsifu Yesu Kristu...

Story ya kweli kabisaaaa.....

Iko hivi, kuna mdada mmoja alitoka katika familia ya kifukara sana Usukumani (Bariadi) tumuite "Kija" Kija alikuwa msichana mrembo tu ila hali ya kiuchumi ya nyumbani kwao ilimsababisha aonekana kutokuwa na mvuto... Basi mama mmoja ambaye anatokea Bariadi lakini anaishi Jijini Mwanza tumuite "Mrs. Kombe" alikwenda Bariadi kutafuta msichana wa kazi. Kwa bahati nzuri.akampata Kija...Huyu mama hakuwahi kujaaliwa kupata mtoto hata wa dawa ingawa mumewe alikuwa na mali nyingi....

Wakaja mpaka Jijini Kija akaanza kazi, alifanya kazi kwa bidii sana mpaka Mrs. Kombe akafurahi na kumpenda sana Kija, kwa vile Kija alikuwa ameishia darasa la saba basi Mrs. Kombe akaamua kumsomesha Kija elimu ya Sekondari, alianza kidato cha kwanza mpaka cha nne akiwa "day scholar" anafanya kazi zote za nyumbani kisha anakwenda shule. Yule mama akawa anamuongezea pesa katika mshahara wake ili kulipia ada ya shule mpaka alipomaliza kidato cha nne....

Baada ya kumaliza alifaulu kwa kiwango cha kati na akapangiwa kwenda chuo cha Ualimu. Baada ya kumaliza chuo akapangiwa kufundisha shule fulani ya msingi jijini Mwanza.

Yule mama alimlea Kija kama mwanae wa kuzaa na baada ya muda ile hali ya "U-house girl" ilififia akaonekana kama mwanafamilia ya yule mama. Baada ya kupata elimu hiyo Kija alianza kuichukia familia yake ya kuleee Bariadi na kujiona kama alikosea kuzaliwa katila familia hiyo. Mawasiliano yakawa mabaya baina yake na familia yake ya Bariadi.

Basi baada ya kuanza kazi ya ualimu aliamua kuanza kujitegemea, ndipo akakutana na mkaka flan tumuite "Mabula". Walianza mahusiano hatimaye Mabula akamchumbia Kija....Wakapanga siku ya kwenda kwao Kija...Lahaula lakwata!!!!!! Badala ya Kija kumpeleka kwa mama yake (baba yake alikuwa keshafariki) alimpeleka kwa Mrs. Kombe. Basi siku ya siku Mabula akaieleza familia yake kuwa amepata mchumba na taratibu zote zikafuatia, Wazazi wa Mabula walikwenda kwa Mrs. Kombe kama walivyotambulishwa na Kija kuwa pale ndio kwao taratibu zote za kimila zilifanyika ila mama mzazi wa Kija alipewa taarifa na kuhudhuria kama ndugu tu kutoka kijijini na akawa "treated" kama mgeni.

Mahari ilitolewa na aliyeipokea ni Mrs. Kombe (kama mjuavyoa masikini hana haki) yule mama bila aibu alipokea mali na kumgawia mama mzazi wa Kija kwa kisingizio kuwa yeye ndiye amehusika sana na malezi ya Kija mpaka hapo alipofika. Basi send off iliandaliwa na Mrs. Kombe na aliplay party kama vile mama mzazi (Hapa sisemi kama alikosea, ila kumbuka mama mzazi hakushirikishwa hata kwa mawazo) mwisho akafanyiwa bonge la send off "as usual mama mzazi alikuja kama ndugu tu aliyealikwa"....

Wakati wa utambulisho mama mzazi alitambulishwa kama "mama yangu mwingine" Ilikuwa hivi " Kwanza Napenda kumtambulisha mama yangu (akamsimamisha Mrs. Kombe)" Pili.napenda kumtambulisha mama yangu mwingine (akasimamishwa mama mzazi) u can't believe".......... No way ndo ishakuwa hivyo, maisha yakasonga.

Basi sasa baada ya Ndoa Kija akahamia Shinyanga alipokuwa anaishi Mabula, baada ya muda Kija akapata ujauzito akajifungua watoto mapacha, wale watoto walipokuwa Kija alifunga safari moja kwa moja mpaka kwa Mrs. Kombe kuwapeleka watoto waonwe na bibi yao. "Kimila zaidi" Ingawa ilipaswa wale watoto waonwe na mama mzazi wa Kija. Kisha akarudi zake Shy maisha yakasonga.

Mpaka dakika hii Mabula anafahamu ya kwamba Mrs. Kombe na Mzee. Kombe ndio wazazi wa Kija. Ni miaka miwili na miezi kadhaa imepita...

Najiuliza ilitokea mama mzazi wa Kija afariki dunia Kija ataliaje?

Hivi kuna wanawake wapo duniani wana tabia kama hii?????

NOTE: Majina na mahali sio halisi.....

SAMAHANI KWA STORY NDEFU ILA.UNAWEZA UKAPATA KITU.......

Wasalaam

CL

aisee,ukisikia ng'ombe wa maskini hazai,akizaa huzaa dume tena dume lenyewe shoga.samahani,ndo yule kija aliyekuwa akiishi nyakato-nundu?
 
Laana zingine huwa zinatafutwa na mkataa kwao ni mtumwa, Mungu atamuonesha siku kama alichokifanya si sahihi na mama ake mzazi anaumia
 
Mr n mrs kombe ndo wa kulaumiwa zaidi ila Kija ni zaidi ya mbwenu lol!
Bwana Yesu asifiwe....

Asalaam Aleikum....

Tumsifu Yesu Kristu...

Story ya kweli kabisaaaa.....

Iko hivi, kuna mdada mmoja alitoka katika familia ya kifukara sana
Usukumani (Bariadi) tumuite "Kija" Kija alikuwa msichana mrembo tu ila
hali ya kiuchumi ya nyumbani kwao ilimsababisha aonekana kutokuwa na
mvuto... Basi mama mmoja ambaye anatokea Bariadi lakini anaishi Jijini
Mwanza tumuite "Mrs. Kombe" alikwenda Bariadi kutafuta msichana wa kazi.
Kwa bahati nzuri.akampata Kija...Huyu mama hakuwahi kujaaliwa kupata
mtoto hata wa dawa ingawa mumewe alikuwa na mali nyingi....

Wakaja mpaka Jijini Kija akaanza kazi, alifanya kazi kwa bidii sana
mpaka Mrs. Kombe akafurahi na kumpenda sana Kija, kwa vile Kija alikuwa
ameishia darasa la saba basi Mrs. Kombe akaamua kumsomesha Kija elimu ya
Sekondari, alianza kidato cha kwanza mpaka cha nne akiwa "day scholar"
anafanya kazi zote za nyumbani kisha anakwenda shule. Yule mama akawa
anamuongezea pesa katika mshahara wake ili kulipia ada ya shule mpaka
alipomaliza kidato cha nne....

Baada ya kumaliza alifaulu kwa kiwango cha kati na akapangiwa kwenda
chuo cha Ualimu. Baada ya kumaliza chuo akapangiwa kufundisha shule
fulani ya msingi jijini Mwanza.

Yule mama alimlea Kija kama mwanae wa kuzaa na baada ya muda ile hali ya
"U-house girl" ilififia akaonekana kama mwanafamilia ya yule mama.
Baada ya kupata elimu hiyo Kija alianza kuichukia familia yake ya kuleee
Bariadi na kujiona kama alikosea kuzaliwa katila familia hiyo.
Mawasiliano yakawa mabaya baina yake na familia yake ya Bariadi.

Basi baada ya kuanza kazi ya ualimu aliamua kuanza kujitegemea, ndipo
akakutana na mkaka flan tumuite "Mabula". Walianza mahusiano hatimaye
Mabula akamchumbia Kija....Wakapanga siku ya kwenda kwao Kija...Lahaula
lakwata!!!!!! Badala ya Kija kumpeleka kwa mama yake (baba yake alikuwa
keshafariki) alimpeleka kwa Mrs. Kombe. Basi siku ya siku Mabula
akaieleza familia yake kuwa amepata mchumba na taratibu zote zikafuatia,
Wazazi wa Mabula walikwenda kwa Mrs. Kombe kama walivyotambulishwa na
Kija kuwa pale ndio kwao taratibu zote za kimila zilifanyika ila mama
mzazi wa Kija alipewa taarifa na kuhudhuria kama ndugu tu kutoka
kijijini na akawa "treated" kama mgeni.

Mahari ilitolewa na aliyeipokea ni Mrs. Kombe (kama mjuavyoa masikini
hana haki) yule mama bila aibu alipokea mali na kumgawia mama mzazi wa
Kija kwa kisingizio kuwa yeye ndiye amehusika sana na malezi ya Kija
mpaka hapo alipofika. Basi send off iliandaliwa na Mrs. Kombe na aliplay
party kama vile mama mzazi (Hapa sisemi kama alikosea, ila kumbuka mama
mzazi hakushirikishwa hata kwa mawazo) mwisho akafanyiwa bonge la send
off "as usual mama mzazi alikuja kama ndugu tu aliyealikwa"....

Wakati wa utambulisho mama mzazi alitambulishwa kama "mama yangu
mwingine" Ilikuwa hivi " Kwanza Napenda kumtambulisha mama yangu
(akamsimamisha Mrs. Kombe)" Pili.napenda kumtambulisha mama yangu
mwingine (akasimamishwa mama mzazi) u can't believe".......... No way
ndo ishakuwa hivyo, maisha yakasonga.

Basi sasa baada ya Ndoa Kija akahamia Shinyanga alipokuwa anaishi
Mabula, baada ya muda Kija akapata ujauzito akajifungua watoto mapacha,
wale watoto walipokuwa Kija alifunga safari moja kwa moja mpaka kwa Mrs.
Kombe kuwapeleka watoto waonwe na bibi yao. "Kimila zaidi" Ingawa
ilipaswa wale watoto waonwe na mama mzazi wa Kija. Kisha akarudi zake
Shy maisha yakasonga.

Mpaka dakika hii Mabula anafahamu ya kwamba Mrs. Kombe na Mzee. Kombe
ndio wazazi wa Kija. Ni miaka miwili na miezi kadhaa imepita...

Najiuliza ilitokea mama mzazi wa Kija afariki dunia Kija ataliaje?

Hivi kuna wanawake wapo duniani wana tabia kama hii?????

NOTE: Majina na mahali sio halisi.....

SAMAHANI KWA STORY NDEFU ILA.UNAWEZA UKAPATA KITU.......

Wasalaam

CL
 
Mr n mrs kombe ndo wa kulaumiwa zaidi ila Kija ni zaidi ya mbwenu lol!

Dada ram... Kwanza pole mamie!

Afu mie sijatamka ujue!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli dunia magazijuto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
dah kweli nimeamini "Mwanamke mzuri, -------- ni kama pete ya dhahabu,kwenye pua ya nguruwe...
 
Mmmmmmmmmmmh! Malipo hapa hapa duniani! Kija yatamkuta ya huyu Kijana Dullah!

Kijana Dullah alikuwa mtoto wa pekeee, sasa kazi ya kumlea baba yake ikawa inamboa! Baba yake akawa amezeeka sana hajielewi tena! Dullah akawa amempakia kwenye gari akampeleka nyumba ya wazee Dodoma huko! Njiani akamwambia mimi bwana nakupeleka kule coz kama ujuavyo Mungu hakukupa kikazazi kikubwa, tungekuwa wengi tungepokezana, ila coz niko mwenyewe na mke wangu huna budi kunisamehe kwa hili ila sina jinsi. Njia nzima mzee analia anamsihi mwanae asimpeleke!Anamwambia yeye ndo mwanae, na mjuu wake ndo familia yake, sasa kule ataishije? Dullah hana simile. Basi kufika kule akamuacha! Haikupita miezi 2, akapata taarifa Mzee katangulia. Yakaisha maisha yakaendelea.

Dullah, nae akawa na mtoto mmoja tu wa kiume kama mzee wake. Nae ikafika siku yake hapo kazeeka akaambiwa sasa jiandae safari ya Moshi nyumba ya wazee imefika! Tofauti na mzee wake Dulla yeye akawa kimyaaa machozi yanamshuka tu! Nae akaenda kubwagwa!

Kija nae wanae watakua!

hii cyculation itaisha vipi lara 1 ?
 
Last edited by a moderator:
mama yangu ni nguzo ktk maisha yangu.. nataman nijue hatma ya Kija ..lol.!
 
Back
Top Bottom