Mistanyere
Member
- Aug 15, 2014
- 19
- 8
Habar zenu great thnkers..!! mm Ni kjan mweny elim ya kdato cha sita, napenda kuitumia fulsa hii kuomba msaada wenu wa kimawazo enyi wana jamii forum nikiwa na iman kuwa hii ndiyo sehem pekee ninayo weza pata mawazo chanya yatakayo niwezesha ku-move ili kulifikia lengo.... Nia na madhumuni ya uzi huu Ni kupata mawazo yenu kuhsu, Nini naweza fanya kwa mda huu nnaosubiria kwenda Chuo?.. Nimesoma PCB na ningependa kupata chochote cha kufanya chenye ujira ili niweze kkidh mahtaji yangu ya msingi Kama kijana. Wazo lako ndo msing kwang, nipe wazo coz we ndo shujaa Wang,pia...WAZO LAKO MOJA LITAIOKOA JAMII NZIMA YENYE UHITAJI ...."ALL THE BEST"...