MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,102
- 22,384
🗑️🗑️Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
Lingekuwa gazeti ningewapa wamasai wachambie mbuganiKwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
Kwanini umesema na wapinzani pia wapo?Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
Machawa mna mchango mkubwa sana kumfanya aonekane si lolote si chochote.Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
🚮🚮🚮Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
Wewe hujawaona wapinzani wa uchaguzi 2025? Labda wachapishe form moja tuu.
Ndege wananao, mtu mwenye chawa ni mjinga na mchafuMachawa mna mchango mkubwa sana kumfanya aonekane si lolote si chochote.
Acha dharauLingekuwa gazeti ningewapa wamasai wachambie mbugani
And vice versa is true.Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
11.Lomarisa-Waziri wa Maji Yanga FCKwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;
1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya
2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha
3. Chalamila - RC Dar es Salaam
4. Alberto Msando - DC Handeni
5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje
6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA
7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano
8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA
9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT
10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
uzuri wake ninini au kutuambia tuhamie Burundi au unafkiri tumesahau tena kwenye kipindi dak 45 ITV alisema ndo yeye aliyependekeza tozo!!!!!Mwigulu Nchemba is the best kwa wote hapo issue ya Uchumi sio mchezo ili wote wang’are ni mpaka Waziri wa Fedha awe vizuri