Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

Hapa umenena, Elimu ni tatizo kwa wengi waislamu na wamekazana kusema mfumo kristo kwa kuwa viongizi wengi walioshikilia serikali na maendeleo ki ujumla ni wakristo.
Kihistoria wakristo walithamini saana elimu hata mababu wa kikristo ndio waliowasomesha watoto wao ambao kwa sasa wengi wao ni viongozi na wenye maendeleo.
Kwa upande wa waislamu mababu zao walikazania saana elimu akhera (madrasa) na kuwa sheikh ndo lengo kuu. Na kwa sasa ndio hawa wanaolalamikia mfumo kristo.
Ukweli utabaki pale pale... Kwa dunia ya sasa bila elimu dunia hufiki popote hasa kwenye upande wa uongozi! Cha msingi ni kubadilika na kukubali kuwa ELIMU ndo kila kitu ifanywe iwe ni lazima kwa kila mtu.
Na siku zoote mtu anayelalamikia mifumo ya kidini kama ndio kikwazo chunguza saaana Elimu na malezi yake yaliyomkuza hutobishana nae.

waislam wengimnaochangia humu amuelewi mnachokisema huo mfumokristo ndio uliowakosesha waislam elimu kwann kwenye mitihani kutoka kwenye majina ya wanafunzi mpaka namba kilionekana nn hapo na kwataarifa zenu waislam ni walielimika kabla ya makafiri sababu watuwapwani ambao 90% ni waislam ndio waliowapokea wakoloni na hiyo elimu mnayoisema imeletwa na hao wakoloni . Angalia elimu hiyo walionayo hao wakristo walijazana kwenye tawala mbalimbali za nchi hii angalia njaa na mateso ilivyotawala nchi hii elimu yao inasaidia nini wezi wakubwa na elimuyao yakukaririshwa na wazungu . Kwann inakuwa hivyo hii dini yao yakutunga ukristo haifundishi upendo kwa asie mkristo zaidi ya chuki wala haiwafundishi kuogopa dhulma kwani unaweza ukadhulum alafu ukaenda kutubia kwa padre kweli kutakuwa namaendeleo nchi hii
 
Ndugu yangu Mtoi mimekuelewa vizuri na nimegundua kuwa kwa mtazamo wako ni kwamba waislamu Tanzania hawako sahihi katika kile wanachodai kuwa wanafanyiwa dhuluma hasa kile wanachopigia kilele yaani Mfumo Kristo.Umejaribu kutoa au kuelezea kwa mifano nafasi ambazo waislam wameshika ktk serikali,labda nikupongeze kwa kuweka wazi ktk yale ambayo unayajua juu madai ya waislam na pia kujaribu kuanisha maadui wa waislam. Labda mimi nikushauri kwanza utafute vitabu hivi Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania Bara kilichoandikwa na Dr. Sivalon, Muslims and the State in Tanzania na Mwembachai Killings vilivyoandikwa na Prof.Hamza Njozi. Vile vile fuatilia kwa uchache habari ya MOU yaani Memondarum of Understanding ambayo serikali imeingia mkataba na kuwapatia taasisi za kidini(kikristo) mamilioni ya shilingi kuendesha taasisi zao. Rejea pia kauli ya Membe na Pengo juu Tanzania kujiunga na OIC. Kimsingi ukiangalia kwa umaikindi kuna chembembe za udini ambazo zimekuwepo toka kabla na baada ya uhuru. Kwa kauli ya Nyerere aliahidi kulipa KANISA nafasi nzuri ktk serikali ya Tanzania.Kuwa na viongozi wakubwa waislam si kigezo kikubwa cha kusema kuwa hakuna mfumo hebu angalia kiasilimia utakuta ni asilimia ndogo mno. Chukulia mf. ni waislamu wangapi ni Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wa wizara mbalimbali na taasisi na idara, wakuu wa shule, walimu wakuu na walimu. Na ukichunguza ni waislamu wangapi wana uwezo wa kushika nyazifa mbalimbali.Mimi kwa ushauri wangu serikali iyaangalie madai ya waislamu na sio kuyafumbia macho. Mwisho nakubaliana na wewe katika wale maadui wa uislamu hasa BAKWATA ni kikwazo kikubwa ktk harakati za waislamu toka ilipoundwa mwaka 1968 baada ya kuivunja East Africa Muslim Welfare Society(EAMWS) ambayo ilikuwa ni nguzo ya umoja wa waislamu Afrika Mashariki ambayo makao makuu yake yalikuwa Tanzania yaani Tanganyika by then pale Changombe.Ndugu yangu tusome historia itatusaidia kujua asili ya mambo au matatizo yanayotukabili.

Mh!!! Mambo mengine yanahitaji unapoyajadili uondoe imani yako kwanza na kuiweka pembeni na kwa msingi huo nadhani wapagani ndiyo peke yao wanaoweza kusuluhisha hili kutokana na busara walizozonazo kwani mpaka leo serikalini yupo mh. ngombale mwilu pekee lakin hawana malalamiko ya hovyovyo !!!
 
Mtazamo wangu wakati
mwingine huwa nafikiri sisi watu weusi haya mambo ya dini hizi 2 nikama
hazituhusu vile! Pili huwa nfikiri kuwa sisi watu weusi kimsingi kama
kuna pepo na moto basi sisi ni wa peponi kabisa na moto hautuhusu!
FIKIRIA kwamba kabla hawajafika wageni hapa Afrika sisi tulikuwa dini
gani? Kabla hawajfika wao hapa Afrika hakukuwa na Mkristo wala Muislamu!
Na si miaka mingi tangu wafike hapa Afrika! Sasa swli linakuja kama ni
kweli sisi binaadamu Dini ndio zitakazotupeleka peponi je babu zetu
waliokufa kabla hizi dini ngeni hazijafika bala hili wameenda upande
gani?! Kwa kuwa wao hawakuwa waislam wala wakristo. Uislamu na Ukristo
tunaougombania sisi si dini zetu hizi,ni dini za wageni hizi. Na
wlaiotuletea imani hizi wooote kimsingi hawakuja Afrika kutuletea dini
bali walikuwa wanakuja kwa maslahi ya biashara zao nadini walitumia
kutuzuga tu tutulie, na watu hawa walitutesa saana sana na kututumia
kama ng'ombe wa kulimia sisi! Na mungu kwa nini alituumba sisi Waafrika
tukiwa na mapungufu makubwa ya akili? Akaruhusu waafrika tuteswe na hawa
waleta dini na ameruhusu waendelee kututesa mpakamilele? Tunaitwa nyani
mpaka leo, wanazoa tu malighafi zetu milele,yaani sisi ndio duni kuliko
mabara yooote, kwa nini dini zao hazijatusaidia hili? Na kwanini hakuna
nabii na mtume mweusi katika dini zote mbili? WAAFRIKA kwetu ni peponi
tu kama kutakuwapo kweli, mungu hawezi kuwa katili hivyo,atutese duniani
kisha akatutese na huko: HIVYO KUWAZA JUU YA UISLAMU AU KUWAZA JUU YA
UKRISTO kwa mwfrika ni kupoteza muda tu!!

daaah!,sijui nikupe nini mjomba,umemaliza kabisa,kimsingi laiti kama sote tungekuwa na mtazamo huu,dini zisingeweza kutugombanisha kabisa,mwisho wa thread hii kabisa,sisomi tena comments za wadau wengine
 
Marnah
sijakuelewa ulivyomshambulia bwana Mtoi bila kuwa na sababu au hoja ya
msingi. Nadhani wewe ndio baadhi ya wachache mliokosa elimu au kama
unayo basi hujaelimika.

Mkosoe bwana Mtoi kwa hoja na si kumuita brainless au mtoa pumba. Hapo
unabaki wewe kuwa brainless kwa kuwa hakuna ulichochangia badala ya
kujishushia heshima yako.

upo sahihi sana bro,endelea kuelimisha kaka,wapo wengi sana wa dizaini hii
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma vizuri historia ya Somalia utaona kuwa western nations wamekuja kuisaidia Somali baada ya kuona hali ya amani nchini humo imevurugika. Chanzo kikuu cha ugomvi ni wao kwa wao (yaani waislam wenye itikadi kali (radical islamists) na serikali ya Somalia).

Habari za kuwa kuna meli zilimwaga sumu kwenye bahari yao nazitilia mashaka labda ukiweka source ya kuaminika.

Bwana SUKAH hujanielezea maana halisi ya mfumo kristo. Naomba unifafanulie ili tuendelee na mjadala.

ni mfumo kandamiz na wa dhulma dhidi ya waislam na uislam ambao umehodhi sekta nyeti ktk ngazi mbalimbali na kiutendaji umefanywa kuwa rasmi na ni mila, desturi na utamaduni wa watendaji walio wengi ktk serikali ya JMT, mashirika ya umma na taasis mbalimbali za kijamii hata kwa kukiuka katiba na sheria za nchi na ambao umetengenzewa misingi imara na mheshimiwa Rais mstaafu marehem Mwl. J.K. Nyerere kwa manufaa ya kanisa hasa katoliki.

Mfumo huu huwafanya hata hao baadh ya viongoz walotajwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo hasa hasa pale kwenye kuweka usawa ktk kula ile keki yetu ya taifa kwani anapoingia mtu tofauti na sura zao walizozizoea tangu enzi hizo huonekena mgeni na ni kawaida kuambiwa analeta fujo.
 
Last edited by a moderator:
Jambo la kusema tu hapo ni kwamba waislam wameshafanya tafit za kutosha juu ya hayo yote na ndio maana wametambua kuwa adui # 1 ni 'mfumo kristo' na sio wakristo.
Hebu pata picha mfumo wa upumuaji ufanyavyo kazi, yaani punje ya chakula inapojaribu kuingia kwenye tundu la hewa tu bas punje hiyo itaonekana korofi kupita kias na kutupwa mbali na hata mtu kukohoa vibaya mno, na hivyo ndivyo mfumo kristo ufanyavyo kazi ktk Tanzania baada ya kuwekewa misingi imara na babake Makongoro kw kuwa kiungo muhim sana kati ya kanisa na serikali, hivyo kusababisha waislam kuonekana wanalalamika au kuleta fujo baada ya kudai haki zao bila mafanikio kwa muda mrefu na kuchoshwa na hali hiyo kujirudiarudia na vikwazo kuonekana ni vilevile.
Kumbe hawakujua kuwawanuingilia mfumo kristo hasa ktk nafas nyeti kama vile elimu na uchumi hivyo kuonekana kama ile punje ya chakula na ndio maana nchi kwa sasa inakohoa vibaya mno .
Sishangai hali ya sasa hasa baina ya waislam thabiti na mfumo kristo ilivyo, kwan ni matokeo ya juhud za makusudi zilizofanywa na babake Makongoro. Wakat baba na babu zetu wakihangaika kumpa sapoti ktk kuijenga Tanzania imara kumbe yeye alikuwa akihangaika kuihakikisha kuipa kanisa nafasi nzuri ktk nchi bila waislam, wakristo n.k. walio wengi kutambua.
Huenda ikawa ndio chanzo cha kutoendelea kwa Tanzania kwa kasi iloyotarajiwa na wengi, kumbe miaka 27 yote ilipotea ktk kutengenezea upande moja nafasi nzuri na kubagua upande mwingine.
Maneno yake nje yalikuwa tofauti na matendo yake kindani.

Hakuna amani pasipo na haki.....

kaka we umemaliza mwenye akili timamu lazma akubaliane na ww na akiri hoja zako salut man.
 
Back
Top Bottom