greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,319
- 3,929
Kwani awa wanandoa hawaishi pamoja?
Kiongozi SalamaHujaeleweka mkuu
Bora Dini Ya Mudi Unajimwaga Tu SafiSuala la wanawake kulazimisha Kufunga ndoa hata kama mmeshaishi pamoja kwa muda mrefu ni janga yani... Hawaelewi kabisa hapo jamaa ataanza kubaniwa utamu
Kina mudi simple sanaaBora Dini Ya Mudi Unajimwaga Tu Safi
Ni wanandoa. Wamefunga ndoa ya serikali. Ila mwana mama anataka wa upgrade ndoa waende kufunga ndoa ya kanisani.Sijaelewa hapo Kwenye iyo conversation?
Hawa wanaochati Ni wanandoa wameachana wanataka kufungua Ndoa ambayo tayar awali ilikwisha vunjika?
Au
Ni wachumba wanaotarajia kufunga Ndoa kanisani?
Unajuaje!?Mbona waziri mkuu na mkewe wanaishi poa tu
Sasa kama walishafunga ndoa tayari ndoa ya kanisani ni ya nini? Maana hati ni ile ile. Na baraka zipo palepale.Blue
Blue ni me na black ni ke halafu wamezaa watoto watatu na wamekaa muda mrefu utamu huoooooo
Hapo sasaNDOA YA KISERIKALI, kwani za kanisani hazina migogoro?
Aliyeanzisha thread kasema ni ndoa ya kiserikali. Kwahiyo nadhani tayari ni wanandoa.Mimi nilivyoelewa ni kwamba wawili hawa wameishi pamoja mpaka wakafanikiwa kupata watoto bila ndoa. Sasa mama alitaka ndoa ya kanisani lakini Baba hakuafiki!! Baba haafiki hata hiyo ndoa ya kiserikali, yeye msimamo wake ni kwamba waishi tu hivyo hivyo mpaka hapo baba atakapoamua kuwa wakati wa ndoa umefika!! Lakini hata hivyo mama anahoji kama uamuzi huo wa ndoa ni wa baba peke yake?
Kwa mtazamo wangu wanaotaka ndoa wapewe. Kuna aina fulani ya mtazamo wa kiakili watoto wa kike wengi (sio wote) huwa wametengenezewa. Inawafanya kuona kwamba kufunga ndoa rasmi ni kuheshimishwa.Nikiwa mdogo nilikua sikubali kushindwa....mama angu mzazi aliligundua Hilo...kuna siku alinambia...mwanangu penda Sana kua
Msikilizaji....
Kuna watu kibao wamefunga ndoa na waka achana ndani ya muda mfupi...
Pia kuna walio survive long bila ndoa
Kuna mwana JF mmoja alitoa maoni yake aki muuliza babe wake nikipi kipya waki endelea kuishi bila ndoa na wakifunga ndoa....
Hivi ndoa za kiserikali zina shida gani hasa? Mbona hata ndoa za kidini watu Wanavimbiana?Seems vipato vyao havitofautian sana ndo maana wanajibishana,
Ndoa za serikali zinawork kama vipato ni tofauti saaana, au mmoja wapo anafuture kubwa kuliko mwingine
Mwenye simu kaingia kwenye uwanja wa msg ili amtumie mama watoto, Nahisi maandishi ya kulia (blue) ni Me Na Kushoto (black) Ni "Mama Watoto"Hii ajabu hii.
Yaani mwamba ndo anataka ndoa halafu bibie hataki ni mpaka atakapoamua yeye.
Ama kweli kina mama mmeshika mpini mwaka huu
We mleta uzi hebu edit hapo uweke sawa ke ni yupi na me ni yupi watu tunalishana matango pori hapo.
Yaah ndo ivo anaelalama ni MeMwenye simu kaingia kwenye uwanja wa msg ili amtumie mama watoto, Nahisi maandishi ya kulia (blue) ni Me Na Kushoto (black) Ni "Mama Watoto"
"Mama watoto" Inaonekana Hataki Ndoa
Screenshot imepigwa toka simu ya Me
Get into it ujue yalivyo..Duh hayo majibizano ni ya wanandoa kweli? Mbona ni makauzu sana, kwani mahusiano walilazimishwa?