Soma meseji hizi kati ya Mume na Mke waliofunga Ndoa ya Serikali kisha tafakari

Seems vipato vyao havitofautian sana ndo maana wanajibishana,
Ndoa za serikali zinawork kama vipato ni tofauti saaana, au mmoja wapo anafuture kubwa kuliko mwingine
 
Suala la wanawake kulazimisha Kufunga ndoa hata kama mmeshaishi pamoja kwa muda mrefu ni janga yani... Hawaelewi kabisa hapo jamaa ataanza kubaniwa utamu
 
Sijaelewa hapo Kwenye iyo conversation?

Hawa wanaochati Ni wanandoa wameachana wanataka kufungua Ndoa ambayo tayar awali ilikwisha vunjika?
Au
Ni wachumba wanaotarajia kufunga Ndoa kanisani?
Ni wanandoa. Wamefunga ndoa ya serikali. Ila mwana mama anataka wa upgrade ndoa waende kufunga ndoa ya kanisani.

Inaonekana wanaishi kwa amani tu. Ila mke hajaridhika na ndoa ya serikali. Anaona haina baraka za mungu.
 
Mambo haya si walitakiwa waongee wenyewe huko chumbani kwanin wachart??
Na kingine kwanin ushuke simu ya huyo mwanamke uscreenshoot chart zake na mumewe utupostie huu sio uungwana kabisa😂😂
 
Mimi nilivyoelewa ni kwamba wawili hawa wameishi pamoja mpaka wakafanikiwa kupata watoto bila ndoa. Sasa mama alitaka ndoa ya kanisani lakini Baba hakuafiki!! Baba haafiki hata hiyo ndoa ya kiserikali, yeye msimamo wake ni kwamba waishi tu hivyo hivyo mpaka hapo baba atakapoamua kuwa wakati wa ndoa umefika!! Lakini hata hivyo mama anahoji kama uamuzi huo wa ndoa ni wa baba peke yake?
Aliyeanzisha thread kasema ni ndoa ya kiserikali. Kwahiyo nadhani tayari ni wanandoa.
 
Nikiwa mdogo nilikua sikubali kushindwa....mama angu mzazi aliligundua Hilo...kuna siku alinambia...mwanangu penda Sana kua
Msikilizaji....

Kuna watu kibao wamefunga ndoa na waka achana ndani ya muda mfupi...

Pia kuna walio survive long bila ndoa

Kuna mwana JF mmoja alitoa maoni yake aki muuliza babe wake nikipi kipya waki endelea kuishi bila ndoa na wakifunga ndoa....
Kwa mtazamo wangu wanaotaka ndoa wapewe. Kuna aina fulani ya mtazamo wa kiakili watoto wa kike wengi (sio wote) huwa wametengenezewa. Inawafanya kuona kwamba kufunga ndoa rasmi ni kuheshimishwa.
 
Seems vipato vyao havitofautian sana ndo maana wanajibishana,
Ndoa za serikali zinawork kama vipato ni tofauti saaana, au mmoja wapo anafuture kubwa kuliko mwingine
Hivi ndoa za kiserikali zina shida gani hasa? Mbona hata ndoa za kidini watu Wanavimbiana?
 
Hii ajabu hii.

Yaani mwamba ndo anataka ndoa halafu bibie hataki ni mpaka atakapoamua yeye.
Ama kweli kina mama mmeshika mpini mwaka huu

We mleta uzi hebu edit hapo uweke sawa ke ni yupi na me ni yupi watu tunalishana matango pori hapo.
Mwenye simu kaingia kwenye uwanja wa msg ili amtumie mama watoto, Nahisi maandishi ya kulia (blue) ni Me Na Kushoto (black) Ni "Mama Watoto"

"Mama watoto" Inaonekana Hataki Ndoa
Screenshot imepigwa toka simu ya Me
 
Mwenye simu kaingia kwenye uwanja wa msg ili amtumie mama watoto, Nahisi maandishi ya kulia (blue) ni Me Na Kushoto (black) Ni "Mama Watoto"

"Mama watoto" Inaonekana Hataki Ndoa
Screenshot imepigwa toka simu ya Me
Yaah ndo ivo anaelalama ni Me
 
Back
Top Bottom