Sijaelewa hapo Kwenye iyo conversation?
Hawa wanaochati Ni wanandoa wameachana wanataka kufungua Ndoa ambayo tayar awali ilikwisha vunjika?
Au
Ni wachumba wanaotarajia kufunga Ndoa kanisani?
Mimi nilivyoelewa ni kwamba wawili hawa wameishi pamoja mpaka wakafanikiwa kupata watoto bila ndoa. Sasa mama alitaka ndoa ya kanisani lakini Baba hakuafiki!! Baba haafiki hata hiyo ndoa ya kiserikali, yeye msimamo wake ni kwamba waishi tu hivyo hivyo mpaka hapo baba atakapoamua kuwa wakati wa ndoa umefika!! Lakini hata hivyo mama anahoji kama uamuzi huo wa ndoa ni wa baba peke yake?