Soma meseji hizi kati ya Mume na Mke waliofunga Ndoa ya Serikali kisha tafakari

Sijaelewa hapo Kwenye iyo conversation?

Hawa wanaochati Ni wanandoa wameachana wanataka kufungua Ndoa ambayo tayar awali ilikwisha vunjika?
Au
Ni wachumba wanaotarajia kufunga Ndoa kanisani?

Mimi nilivyoelewa ni kwamba wawili hawa wameishi pamoja mpaka wakafanikiwa kupata watoto bila ndoa. Sasa mama alitaka ndoa ya kanisani lakini Baba hakuafiki!! Baba haafiki hata hiyo ndoa ya kiserikali, yeye msimamo wake ni kwamba waishi tu hivyo hivyo mpaka hapo baba atakapoamua kuwa wakati wa ndoa umefika!! Lakini hata hivyo mama anahoji kama uamuzi huo wa ndoa ni wa baba peke yake?
 
Wasaidie wawili Hawa kufikia muafaka.

View attachment 1998496
Nikiwa mdogo nilikua sikubali kushindwa....mama angu mzazi aliligundua Hilo...kuna siku alinambia...mwanangu penda Sana kua
Msikilizaji....

Kuna watu kibao wamefunga ndoa na waka achana ndani ya muda mfupi...

Pia kuna walio survive long bila ndoa

Kuna mwana JF mmoja alitoa maoni yake aki muuliza babe wake nikipi kipya waki endelea kuishi bila ndoa na wakifunga ndoa....
 
.mada haueleweki kama huu picha
FB_IMG_16357685162739964.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana unatumia nokia tochi mkuu hujawahi kutumia smartphones wala huzijui kabisa...

Sasa kama conversation hujaielewa ndo utaweza kuielewa mada na maudhui yake ukachangia maoni kweli!?

(Usichukulie serious tafadhali)
Yeah, kikubwa kinachokusumbua ni stress za maisha. Najua mipango yako mingi haiendi km ulivyopanga, huku ikiendelea kushuhudia wenzio wakipaa

(Usichukulie very serious)
 
Back
Top Bottom