Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

Kalenda ya mwaka 2014 ni copy ya kalenda 1997 mtoa mada sio mkweli na kalenda ya mwaka 2015 ni copy ya kalenda 1998
Tuthibitishe sio kupest tu
 
Je,una habari?Mwezi huu una ijumaa tano, Jumamosi tano,na Jumapili tano?Hii hutokea kila baada ya miaka 823!Mara ya mwisho ilitokea mwaka 1191 na itatokea tena mwaka 2837!TAFAKARI,NA KAMWE HUTASHUHUDIA TENA KUTOKEA IJUMAA,JUMAMOSI NA JUMAPILI TANO KWA MWEZI MMOJA MAISHANI MWAKO.
 
Ni Kweli bhana Da!! Hongera msatu kwa kuligundua Hilo.
 
ukiona hivyo ujue kuwa ndo mwisho wa dunia unakaribia hivyo ni vyema kujiandaa mioyo yetu iwe tayari kwani hatujui siku wala saa ambayo mwana adamu atakuja

Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.
 
Back
Top Bottom