Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwez pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni

haiashirii chochote isipokuwa sina shaka kwamba umeshawahi kushuhudia matukio yenye ishara ya kurudi kwa Yesu kama maandiko yanenavyo. maovu yataongezeka, vita kila mahali, upendo wa wengi kupoa, na watu kupenda pesa kuliko Mungu
 
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.

duuu......

.
 
maoni yangu ni kuwa wewe hujui geography.... Hizi tarehe hazitokei by chance....zipo wazi na very open....ninicha ajabu kuwa siku 5 ijumaa,jmos na j2? Angalia mwakani january kuna hzo cku unazoshishadidia....afu umedanganywa at zilitokea miaka 252 iliyopita? Angalia mwaka 1997 then futa hiyo 252. In short hakuna cha ajabu chochote kile

Mtumaji hakusema tarehe hizi zinatokea by chance, kama vile kupatwa kwa jua au mwezi unaweza kufanya mahesabu tu, lakini watu bado tunatazama na kushangaa.

January 2015 hauna Ijumaa5, Jumamosi 5, na Jumapili 5.

Mwaka 1997 hukusema ni mwezi gani ulikuwa na Ijumaa5, Jumamosu 5, na Jumapili 5
 
attachment.php

Du kweli ni maajabu kwani Wachina wanasema ni kila baada ya miaka 823

ndugu yangu hii siyo Jiografia Pota tumuia akili kidpgo utagundua maajabu ya NUSU MWEZI MAPUMZIKO siku 15 na siku 16 za kazi
ni wiki 3 mfululizo kwa mwezi mmoja
kuwa Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Mapumziko)
kwa huo mfano wako mbona hata mwezi Julai 2014 unajaa Jumanne Jumatano na alhamis?
na ni kila baada ya MIAKA 823 na sio miaka 252
ok, mwaka 1997 ni exactly kama 2014 je pana miaka 823 hapo? In short nlishackia cku nyingi huu ----- kutoka kwa one of wahubiri wetu awa...
Nikajiuliza sana connection ya 823 ? Nikagundua kumbe ukichukua 823 utapata 13,ie 8+2+3=13 so nikawa na hisia kibao kuhusu wajenzi huru
 
Last edited by a moderator:
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.
Katika hizo siku jua litachwea toka magharibi au kama kawaida?
 
Mtumaji hakusema tarehe hizi zinatokea by chance, kama vile kupatwa kwa jua au mwezi unaweza kufanya mahesabu tu, lakini watu bado tunatazama na kushangaa.

January 2015 hauna Ijumaa5, Jumamosi 5, na Jumapili 5.

Mwaka 1997 hukusema ni mwezi gani ulikuwa na Ijumaa5, Jumamosu 5, na Jumapili 5
kalenda ya mwaka 1997 na ya mwaka huu 2014 zinafanana...na kuna mdau alishatupia humu kama huna kalenda ya 2014 waweza tumia ya 1997 mwaka 2010 nikiwa arush kuna pastor nilimskia akiwadanganya audience hvhvi...at mwaka huo ni wa ajabu kwani mwezi wa kumi mwaka 2010 una hizo siku tatu zenye cku tano na hjitokeza kila baada ya mmiaka 823....Mungu ana jambo juu yako.........anyway naona safari hii wamekuja na mwezi wa nane....
 
maoni yangu ni kuwa wewe hujui geography.... Hizi tarehe hazitokei by chance....zipo wazi na very open....ninicha ajabu kuwa siku 5 ijumaa,jmos na j2? Angalia mwakani january kuna hzo cku unazoshishadidia....afu umedanganywa at zilitokea miaka 252 iliyopita? Angalia mwaka 1997 then futa hiyo 252. In short hakuna cha ajabu chochote kile

Yaani we jamaa naona huna tofauti na huyu..... coz nashangaa kwa nini untoa povu kiasi hicho kama unavyoonekana katika picha yako hapa chini...... kwa maelezo zaidi ifungue picha hiyo ndo utajielewa jinsi akili yako ilivyokuwa wakati unajibu ulicho kijibu.
 
Attachments

  • yogatemplate.gif
    yogatemplate.gif
    1.5 MB · Views: 246
meinkmpf mbona hujibu hoja? Unataka tulazimishwe kumeza kama ulivomezeshwa wew? Na kama hukutaka tuchangie bas usingeweka apa....piga pm... But mi hupenda kudadis ili nielewe nisikariri....mwaka 1997 na mwaka huu vinafanana 100 pc, je pana miaka 823 hapo? Make it clear usikimbilie kutukana wachangiaji...nashukuru nimepata ujumbe wako, nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea hvi, sasa ndo naona tofauti ya malezi.
 
Mtumaji hakusema tarehe hizi zinatokea by chance, kama vile kupatwa kwa jua au mwezi unaweza kufanya mahesabu tu, lakini watu bado tunatazama na kushangaa.

January 2015 hauna Ijumaa5, Jumamosi 5, na Jumapili 5.

Mwaka 1997 hukusema ni mwezi gani ulikuwa na Ijumaa5, Jumamosu 5, na Jumapili 5

Hili ni jambo la kawaida tu, januari na julai 2016 na Mei 2015 nayo ina tarehe kama hizo kwa hiyo ni kawaida sana.
 
kalenda ya mwaka 1997 na ya mwaka huu 2014 zinafanana...na kuna mdau alishatupia humu kama huna kalenda ya 2014 waweza tumia ya 1997 mwaka 2010 nikiwa arush kuna pastor nilimskia akiwadanganya audience hvhvi...at mwaka huo ni wa ajabu kwani mwezi wa kumi mwaka 2010 una hizo siku tatu zenye cku tano na hjitokeza kila baada ya mmiaka 823....Mungu ana jambo juu yako.........anyway naona safari hii wamekuja na mwezi wa nane....

Katika Kalenda ni miezi mingi inakuwa ina siku tatu zilizofuatana na zote zikiwa na siku 5 hasa miezi yenye siku 31.
 
Hili ni jambo la kawaida tu, januari na julai 2016 na Mei 2015 nayo ina tarehe kama hizo kwa hiyo ni kawaida sana.

Kweli kabisa. Katika Kalenda ni miezi mingi inakuwa ina siku tatu zilizofuatana na zote zikiwa na siku 5 hasa miezi yenye siku 31.
 
sio 11 ni 12 out of 31 za kula ngano.... mwezi hatari sana kwa maendeleo..

Hatari?wakati sisi wala ngano ndo tegemeo lenu kwenye bajeti ya serekali yenu kila mwaka?tutajitahidi kuwaongezea pato la taifa!
 
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.

kawaida Tu mbona..
 
Acheni uvivu Watanzania, siyo kila unachokuta kny mtandao kina ukweli. Ni majuzi tu mwaka 1997 mwezi wa nane ulikuwa sawa na mwezi huu halafu unataka kutuaminisha eti miaka 252 iliyopita!!!!!!. Angalia pia mwaka 2003 na 2008 kwa uchache. Hiki siyo kitu cha kutupotezea muda na kutufikirisha. Tuna kazi ngumu ya kufanya CCM wasichakachue katiba. Futa uzi wako huu hauna ukweli.
 
Back
Top Bottom