Soma kesi ya Macha na vituko vya Polisi

Soma kesi ya Macha na vituko vya Polisi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,960
Samahani kuita vituko VYA polisi kis ni BOSI ANAEHUSIKA NA KUGUSHI MAANDISHI KUTOFAUTIAN NA POLISI MWENZAKE

BOSI ANASEMA MAANDISHI YAKUGUSHI...MWENZAKE ANADAI SIYO NA ALIPOULIZWA SWALI KUHUSU KUZIONA HIZO DOCS ALISEMA NDIO ILAMAWAZO YAKE ANAOMBA YACHUKULIWE KAMA YEYE

HII NI SEKTA NI MOJA YA SERIKALI NAANZA KUOGOPA WAPITUNAENDA

MAONI YANGU WAKUU WA POLISI SIMAMIENI HILI TUSIJEPATA AIBU YA JESHI BAADAYA HUKUMU TAR 22JAN
 
Kwahabarizaidi soma
Mpekuzi.blogspot.com kama una bundle
 
Rushwa ni mdudu mbaya sana! Huyu msaidizi wa boss anaujua ukweli! Anasikitika kwa ukweli kupindishwa Sababu ya rushwa ; je ni kweli mzalendo au mgao haukupita kwake?
 
mtoa madaa umetoka lini mirembe
 
Rushwa ni mdudu mbaya sana! Huyu msaidizi wa boss anaujua ukweli! Anasikitika kwa ukweli kupindishwa Sababu ya rushwa ; je ni kweli mzalendo au mgao haukupita kwake?

rushwa ndo sera ya chama chawala ccm
 
Back
Top Bottom