Soma hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma hii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mohammed Shossi, Apr 20, 2012.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wazee wawili walikuwa kwenye ubishi mkali kila moja akitetea kuwa mwanae ndie mtoto mjingakuliko wote duniani, ubishiukawa mkali mwishowe mzee mmoja akamwita mwanae, 'We ngeli njoo' , mwanae akaja mzee akamwambia,'Heb u nenda pale kazini kwangu kanicheki kama nipo, ikiwa utanikuta nambie nirudi nyumbani kuja kula sawa...?', mtoto akajibu sawa akaondoka mbio. Yule mzee wa pili nae akamwita mwanae 'Jelo njoo' mwanae akaja, 'Mwanangu chukua hizi noti mbili za alfualfu, hii alfu moja kaninunulie gari, hii nyingine kaninunulie Blackberry sawa?' Sawa baba' Mtoto akatimka. Njiani ile mitoto ikakutana wa kwanza akaanza 'Baba mjinga kweli eti kanituma nikamuangalie kama yuko kazini, si angepiga simu tu wangemwambia kama yuko au hayuko', wapili akajibu, 'Si heri ujinga wa babako, mimi babangu kanipa noti mbili nikamnunulie gari na simu, sasa eti wala hajanielekeza noti ipi ninunue gari na noti ipi ninunue simu kama si ujinga ni nini hicho!
   
 2. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  daaaaaah, hao madogo kweli mazuzu!!
   
 3. P

  Peac Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heheheee,
  kibelaaaa!
   
 4. v

  vempire Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  hiyo ni level ya juu ya ujinga...mwanao akiwa hivyo duu..
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...