xpin de rexas
Member
- Feb 3, 2013
- 26
- 2
Jamaa alikuwa beach,
Mzungu akapita akamuuliza"are u relaxing?"
Jamaa hakuelewa akajibu NO,akapita mwingine akajibu vilevile
Akaona usumbufu akasogea mbele ufukwen,akamkuta mzungu m1 akamuliza "are u relaxing?Akajibu YES jamaa akamtandika makofi.Unatafutwa.shenzi wee wawapa tabu wenzio kumbe umekaa hapa.