TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Mkuu, Ngoja nimsaidie Ndugu yangu Lizaboni. Hii hapa chini ndo barua ya Zitto kama ilivyopatikana kupitia kwenye mitandao mbalimbali
![]()
Barua mbona haina mhuri na sahihi tutajuaje kaandika Zitto?
Mkuu, Ngoja nimsaidie Ndugu yangu Lizaboni. Hii hapa chini ndo barua ya Zitto kama ilivyopatikana kupitia kwenye mitandao mbalimbali
![]()
Lol! Mi macho yangu bado yana ukungu kuona yajirio katika jukwaa kubwa kama hii.
Huyu Mwigamba yaelekea alikuwa na makubwa anataka kuyatenda ila Mungu akamwadabisha kabla ya!
We ni kimeta umetumwa toka Lumumba kuchafua hali ya hewa
Hivi huyu jamaa RambiRambi mpaka leo hajakabidhi?
Mleta mada naye ni mnafiki kama ulivyo wewe. Mbona na yeye anatumia ID Fake?
Ulipaswa pia kumpongeza kwa yale aliyoeleza
Alishamkabidhi Mchungaji Msigwa!
GHULA, unahangaika sana kukitetea chama kinachoongozwa na viongozi waongo, wanafiki na wazandiki. Mwigamba yupo sahihi na tuhuma alizotoa ni za kweli
Barua mbona haina mhuri na sahihi tutajuaje kaandika Zitto?
ELIMU YAKO TAFADHALI ! KIPI USICHOKIELEWA KWENYE ANDIKO HILI ? Maana tusije anza KUBISHANA NA MBUMBUMBU .
wewe umejuaje kama id yake ni fake? Mimi hii id ni jina langu, wewe unanifahamu? Kama akili yako ni ya kidaku huwezi badilika, kila kitu utafanya kiudaku tu.
mwigamba ni chui ndani ya ngozi ya kondoo. Kwa aliyoyafanya hastahili kuwa mwana cdm hata akiomba msamaha. Ni msaliti kama akina mtela et al. Aende zake kwa mabwana wanaomtumia - ccm kwa maana kazi waliyomtuma ametekeleza.
Na bado, wako mamluki wengi ndani ya cdm
Acha kimbelembele,thrid yote ujaze wewe kisa unaandika kwa ushauri wa TUMBO LAKO Kwani ktk ukoo wa panya/ccm hata haumoMwigamba pia ametusaidia kujua kuwa Dr Slaa na Mnyika ni waongo na hawana uelewa juu ya Katiba yao
GHULA, unahangaika sana kukitetea chama kinachoongozwa na viongozi waongo, wanafiki na wazandiki. Mwigamba yupo sahihi na tuhuma alizotoa ni za kweli
Kadri WanaCHADEMA wanavyojitokeza humu jamvini kutetea hoja ya kwanini akina Mbowe waendelee kubakia madarakani ndivyo wanavyozidi kuipa nguvu hoja ya MAGAMBA ya kwanini CHADEMA wasiaminiwe kupewa Nchi.
Hivi tunaposema kwamba CHADEMA itakufa bila ya akina Mbowe hii inaashiria nini? Hii inaashiria kuwa CHADEMA kama taasisi bado haijawa imara kwa maana ya kujenga misingi, miundo na mifumo thabiti ya namna kupata viongozi bora wa kuaminika, namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za kisiasa instead imejengwa kuwa Taasisi dhaifu ambayo political survival yake inategemea uwepo wa Viongozi flani tu wachache.
Sasa tuangalie muda Uongozi wa sasa umekuwa madarakani na kasi yake katika kukijenga Chama kama Taasisi imara,Hivi tujiulize ni sahihi kuendelea kuwa Uongozi huu ambao kasi yake kukijenga Chama imekuwa ni ya kusua sua au tunahitaji Uongozi mpya uimarishe mifumo ya Chama na kukifanya kuwa Chama kisichotegemea watu wachache kutimiza malengo yake mbalimbali yana hopefully kiwe tayari kuing'oa CCM madarakani 2015.
Tumshukuru Mwigamba kwa kuibua hoja zile maana wengi tusingejua kuwa katiba ya CHADEMA imechakachuliwa au chama hakina akaunti yenye fedha hata moja
Ulipaswa pia kumpongeza kwa yale aliyoeleza