Soma hapa shujaa anayejificha

Soma hapa shujaa anayejificha

Ben Saanane nimekuelewa mkuu,Kiasi fulani hoja yako imenifanya nibadili moyo wangu okey niko tayari ku-forgive na kurejea upande wa Chama tayari kwa kuongoza mashambulizi dhidi ya MAGAMBA.Rai ninawaomba WanaCHADEMA wengine wajifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine badala ya hii tabia ya kuwaita watu wasaliti au masalia sio fresh.Kuanzia sasa tupo pamoja.
 
Hii habari ilikuwemo humu ikatolewa

[wanabidii] UFISADI WA ZITTO ZUBERI KABWE

Wednesday, October 30, 2013​
kauli yake inadhihirsha tabia zake za kisaliti.​
anataka kuficha maovu yake ya kupokea Million 250 CRDB na zile Dolla laki 2 na ushee kupitia German.​
Huyu bwana ni msaliti na kwa wajuzi wa mambo mtaona ni kwanini hakuandamana na dr slaa wakati wa kampeni za urais​
CCM wana mtumia na walishamtumia siku nyingi na innafaa atemwe cheo chake kabla ya 2015 atakiangamiza chama.​
Zito your finished man, nlikuamini lakini baada ya kusoma post inayokuhusu wewe sina imani nawe kanisa​
Umethamini hela kuliko maisha ya sisi walalahoi tunaotegemea ukombozi wa kweli......​

Riporti ya siri inaeleza ukweli 23/6/2008 saa 07:52 ulikutana na kina Wassira na mtu wa usalama wa Taifa sea cliff​
30/6/2008 Ulipokea mshiko wako CRDB Bank kiasi 250Tsh Million.​
Kisha Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana​
kwa Ujerumani akaunti namba .............................,​
ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa hizi katika​
uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki ya​
NMB Dar katika akaunti namba​
.............................. ... yenye jina la TSA,​

Fedha hizo alizichukua ili kutoa taarifa za siri za chadema na aliezipokea kwa niaba yake huko germani ni mwana mama alisoma nae nae akapewa Dola 25,000 kama ahsante...kweli tanzania hatuna wazalendo​

wakatoa na evidence hii Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya jumanne saa 11:21 asubuhi,​
...............kupitia namba yake ya simu ya kiganjani​
......................, alimpigia Zitto kupitia simu ya kiganjani namba​
.............................. waliongea mambo mengi japo kwa muda mfupi, na​
jambo kubwa lilikuwa ni "vipi kuna kipya ndani ya Chadema?"​
Zitto alijibu "yapo mengi lakini hayana impact kwa ccm"​

LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO LAJA.

NIWAULIZE MOD KWANINI WALITOA HABARI NZIMA ISIACHWE IKASOMWA NA JF TUKAMPIMA ZITO????


nlibahatika kukariri chache.

kwa sasa ipo WANABIDII BLOG: [wanabidii] UFISADI WA ZITTO ZUBERI KABWE
 
Back
Top Bottom