Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Mkuu Ben, kwanza nakuhurumia sana kwa jinsi unavyojaribu kupuliza manukaro kwenye kinyesi. Ukweli ni kuwa barua ile ilivujishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wako kwa madhumuni anayoyajua. Hata Zito alishangaa sana kuona jinsi ile barua ilivyotundikwa humu JF. Ben, wewe unajua kuwa viongozi wanaowasiliana kwa masuala ya kiofisi ni Mbowe, Mnyika na Dr Slaa. Wengine inakuwa ngumu sana na hawaaminiwi. Ndo maana Dr Slaa anavyosafiri ofisi anamwachia John Mnyika na si Zitto Kabwe.Thibitisha kama barua iliyovuja huku ilitoka kwenye ofisi ya katibu mkuu.Hili lilishajibiwa humu mkaambiwa mlete vielelezo kuwa barua hiyo ilitumwa kwa mkono au kwa njia ipi.Hamkuleta mnapiga majungu tu