Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Mimi ni mwajiriwa serikalini kwa kama miaka kumi sasa, ningependa kufahamu, nikiagiza gari 4rm japan ama kokote, exemption yangu itanisaidia vp?? msaaada wa haraka jamani wana jamvi.