Soma Hapa Kumhusu Flora Mbasha

Aise naunga mkono hoja.kumbe siko peke yangu yaani hakuna kitu nalaani na kuchukia hizi nyimbo za dini kwa style za dansi .God Bless you guy

Kwa taarifa yako shetani ameichakachua dunia mpaka unashindwa kufahamu kuwa music started in heaven kwa Mungu. The most important thing ni je ule wimbo unamsifu Mungu au shetani? kama una lyrics za kumsifu shetani hata mimi ntazihate lakini kama Mungu anatajwa na kusifiwa i go for it mate, and there is absolutely nothing wrong in the eyes of God.
 
Nyimbo za injili siku hizi ni biashara kama biashara zingine

...and what's wrong with that, ulitaka waimbe halafu wagawe bure. Kuna production costs and such things, what do you want sir? Bible zinauzwa na tunanunua na ni maneno ya Mungu, what is it that you are talking about my good friend?
 

Amewafunga akili
 
The following types of people hate Gwajima............. brabrabra. like never be teaching the word of God like he does, absolutely sublime!

brabrabra......msukule mwingine fekelo wa gwamaji
 
Thats the point!
You cannot switch God on and off at will and expect Him to be happy about it.
Advice her, Flora, that if she does not make up with her husband, all the singing in the world will not let her forge her way into eternity.
 
Kosa la Flora ni lipi ?

Kuripoti kuwa Mumewe anambaka binti au ? Kwahiyo kama Enmanuel anambaka binti yule mlitaka anyamaza.

Nyie watu mnatumia masaburi kufikiri ama ?
ujinga wa daraja la juu
 
Inamaana Kiswahili hukijui misili maanayake ni mfano

TAARIFA:
Nimesimama kwa kifungu kile kile cha kawaida cha kusahihishana makosa yanapotokea.
Maana ya misili si mfano, bali mithili maana yake ndiyo hiyo.
 
Emanuel alibaka kama hajabaka kwanini anahangaika kutaka kesi imalizwe nje ya mahakama
 
Mleta uzi umenena vizuri sana sana, na ndio uweli mtupu! Huyu Flora ni binadamu lakini kwa alichokifanya kwa hadaa ya pesa za mzee wa 'misukule' ni kitendo kibaya sana mbele ya jamii na Mungu pia! siku nyingi wapo waliosema Flora hana Mungu wa kweli ktk nyimbo zake bali ni pesa anatafuta na ndio ukweli!
 
Wewe umefanikiwa kujua kitu ambacho wengi wamekosa. Umeweza kujua tofauti kati ya entertainers na worshipers. Hao uliowataja hapo juu ni entertainers. Binafsi nyimbo zao naziona kuwa sehemu ya burudani tu.

Exactly. Ndio maana maana nyimbo za hawa entertainers hununuliwa hata na waislamu na wapagani kama wanavyonunua burudani zingine.
 
ila kama gwajima anafufuaga watu basi ni mtu muhimu sana
 
Issue ni kwamba Flora kukaa hotelini kisha mume kubaka!! Mtoa ripoti body guard wa Gwaji" hii hainiingii akilini. Gwaji oyeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…