Soma hapa ili ukome kumnyanyasa mkeo

Soma hapa ili ukome kumnyanyasa mkeo

Happy ending dah!na mimi nimkumbatie wangu,nimpeleke tandika nikamfanyie shopping, kuanzia khanga baibui deraa misk zanzibari na mambo mengine.kwa ujumla hadithi yako ndugu mtunzi inatugusa watu wengi.wake zetu ni rafiki, ndugu,anaweza akawa anaumwa lakinj wewe unang'ang'ania mzigo tu upewe.
 
Ujumbe mzuri sana. Uwafikie wale wote wanaopenda kuwatesa na kuwapiga wake zao,mfano yule mheshimiwa pale town.
 
Back
Top Bottom