Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

mkuu ni kawaida kitu kipya au muonekano mpya kuuzoea ni changamoto, hapa tuvumilie tu soon tutaona iko kawaida tu
 
Hongereni kwa kutoa Update ya Jf.
Nimetumia karibu lisaa kuweza kutambua features zilizopo na matumizi yake.
App iko poa, ila kwenye issue ya color ingependeza kama ingerudishwa ile dark blue.
 
Aseeh mimi nimerudi app ya kihenga hii mpya siiwezi UI yake sijaielewa kabisa.
Kumbe tuko wengi Kaka Masai. Mie pia sijaielewa kama.

Hiyo ya kihenga tuliyoizowea inapatikana wapi ikiwa umesha update imekuja hii ya kisasa?

Manga ML pita huku Kaka.
 
Kumbe tuko wengi Kaka Masai. Mie pia sijaielewa kama.

Hiyo ya kihenga tuliyoizowea inapatikana wapi ikiwa umesha update imekuja hii ya kisasa?

Manga ML pita huku kaka.
Mabadiliko yakitokea uniambie hata PM Dada yangu ili iwe rahisi kujua, leo nitaadimika humu.

Nime update ili niweze kupata notifications kumbe hali bado iko vile vile
 
Mabadiliko yakitokea uniambie hata PM Dada yangu ili iwe rahisi kujua, leo nitaadimika humu.

Nime update ili niweze kupata notifications kumbe hali bado iko vile vile
Yaani bado sababu mie pia nilikimbilia ku update nikidhania nitapata notifications zangu ila bado holaa zipo za juzii.

Usijali mdogo wangu nitakufahamisha..
 
Yaani bado sababu mie pia nilikimbilia ku update nikidhania nitapata notifications zangu ila bado holaa zipo za juzii.

Usijali mdogo wangu nitakufahamisha..
Sawa Dada yangu.

Imeboa sana kutotoa notifications
 
Vipi kwenye vyeo kuna maboresho yoyote? Maana,hakuna vyeo siku hizi hakuna zawadi..
 
Nilisema si-update kwanza, notifications zikagoma kuanzia App ya zamani.

Nikasema ngona ni update naweza kutatua tatizo, lakini tatizo bado lipo pale pale.

Bila notifications sioni Raha ya JF kabisa
Pole ungesubiri kwanza.
Me nataka nirudi ile ya kihenga aiseh!
 
Naombq Ku ultimately za App ya Jamii forum play story haipo kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…