Solve this if you are genious

solution.
1=2=5=0
1=3=10=5=0
1=4=17=7=2=0
1=5=x=y=z=0
Hence;-
z=0
y=z+7+2=9
y=0+7+2=9
x=y+17
= 9+17
x=>5=26.

reference;-standard five-six mathematics
syllabus questions in swahili and form I
mathematics book syllabus.

Duh kumbukumbu unazo mpaka leo.
 
Mie sijui hesabu kabisa hapo naona nyota tu

Hahahahh. Pole!

Kanuni aliotumia hapo ni ndogo tu, yaani 'a[SUP]2[/SUP]+1, b[SUP]2[/SUP]+1, c[SUP]2[/SUP]+1, n.k.
Kwa maana hiyo, 2[SUP]2[/SUP]+1=5, 3[SUP]2[/SUP]+1=10, 4[SUP]2[/SUP]+1=17, 5[SUP]2[/SUP]+1=26, 6[SUP]2[/SUP]+1=37, n.k
 
Jibu sahihi ni 2, coz 2 = 5, so 5 =2, and the real answer is ​2
 
haijalishi nimepita wapi, ila nimefika kwa wakati nilipotakiwa
njia uliyotumia inajalisha sana coz ndo nitajua kama umeforge au hujaforge jiibu na pengine umeigilizia jibu je??
 
Hahahahh. Pole!

Kanuni aliotumia hapo ni ndogo tu, yaani 'a[SUP]2[/SUP]+1, b[SUP]2[/SUP]+1, c[SUP]2[/SUP]+1, n.k.
Kwa maana hiyo, 2[SUP]2[/SUP]+1=5, 3[SUP]2[/SUP]+1=10, 4[SUP]2[/SUP]+1=17, 5[SUP]2[/SUP]+1=26, 6[SUP]2[/SUP]+1=27, n.k


sijui kama utakuwa umesaidia hapa inawezekaana ukawa umemuongezea nyota tu.
 
sijui kama utakuwa umesaidia hapa inawezekaana ukawa umemuongezea nyota tu.

Hapana mkuu. Nimemdadavulia zaidi, kwa kumwekea kanuni ambayo inatupeleka kwenye majibu sahihi.
 
Hallow humu ndani kuna vichwa usilogwe kabisa unaona sasa kila mtu kapata
sio wote bana mbona wengi tu wamekosa na wengine wampepatia wameshindwa kuonyesha njia. so wanapata nusu maksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…