Waje katika Imani,Waje kwako msabato usiyekula nguruwe, usiyekunywa soda, na unaedai pipi zinatengenezwa na damu za watu kuzimu?
Amkeni achaneni na dini.
Njia ya Mbinguni ni nyembamba.Viongozi wakuu wa Dini ndio wanaleta Sintofahamu.
KUNA KITU INABIDI TUJIULIZE KUHUSU HIZI IMANI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ukishaanza kuabudu Mungu ambaye ana contradiction, usitegemee huko mbele kwenye ibada yako uoise contradiction.Salaam, Shalom!!!
Ulimwengu wa sasa una hadaa nyingi sana,
Watu wanaandika waraka, terminology nyiiingi, chenga za kutosha kufunika dhambi.
Marriage/ NDOA, ukitaja tu neno Hilo picha Inakuja ni muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke Kwa Tendo TAKATIFU.
Leo wanakuja wahuni wanasema Eti, same sex mar...!!!
Marriage ni kitu kitakatifu, same sex kamwe haiwezi kuwa NDOA/ Marriage.
Wanaokwenda mbali zaidi na kutuambia kuwa Kuna baraka Rasmi( Formal blessing) na Baraka zisizo Rasmi ( Informal blessing).
Hakuna popote katika Neno la Mungu utakuta vitu vya namna hiyo.
Blessing ni blessing./ Baraka ni Baraka.
Curse ni curse/ LAANA ni laana!!
Baraka zisizo Rasmi ni Politics, siasa zinazoingizwa katika Imani.
Ndugu zangu mlioko huko mmekamatika, kimbieni, Shetani mzima mzima ameingia.
Kupinga Si solution, huwezi kumuelekeza tajiri namna ya kutumia pesa zake ilhali we ni kibarua.
Hameni, Hameni hameni 🙏🙏
Mungu wa Mbinguni awabariki.
Karibuni.
Hakuna contradiction katika NENO la Mungu.Ukishaanza kuabudu Mungu ambaye ana contradiction, usitegemee huko mbele kwenye ibada yako uoise contradiction...
Achana na dini za mchongo,Hizi dini ni miyeyusho mitupu! Tumetupa dini zetu za asili,tumekimbilia dini za wahuni!.
Hawa wanabariki watu wanaokulana vinyeo! Hawa wanaua wenzao ili wakapewe nyapu za bure uko mbinguni [emoji3][emoji3] hawa jamaa na hizi dini zao ni usenge mtupu
Ukiona neno linalosemwa kuwa la Mungu linakuwa coded, watu wanahitaji tafsiri, wengine hawaelewi etc, ujue hakuna neno la Mungu hapo, hizo ni siasa za watu tu.Hakuna contradiction katika NENO la Mungu.
Tatizo lenu, ni mnataka kuelewa vitu coded vilivyofichwa...
Asee wanaanzia mbali sana.Ni kulainisha kondoo mzoee taratibu.
Iinformal blessing ni moja ya njia ya kulainisha akili ili ikija ile ya alichokiunganisha mwanadamu asikitenganishe kipokelewe bila kelele nyingi....
Ndo nakwambia,Ukiona neno linalosemwa kuwa la Mungu linakuwa coded, watu wanahitaji tafsiri, wengine hawaelewi etc, ujue hakuna neno la Mungu hapo, hizo ni siasa za watu tu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa sifa zake hizo, kama angekuwapo, angefanya habari zake zijulikane, bila utata, kwa viumbe wote, popote, wakati wowote.
Ukiona utata katika neno linalosemwa kuwa la Mungu tu, ujue una deal na neno la watu. Mungu hatakiwi kuwa na utata wowote katika kumueleza.
Hata huu mjadala unaonesha Mungu hayupo.
Angekuwepo, kila mtu angejua hilo bila utata mpaka mjadala huu usingewezekana kuwepo.
ChitakiiHameni, Hameni hameni 🙏
Hakuna kuchanganyikiwa.Mtachanganyikiwa sana , safi sana.
Sion tatizo kwenye makatazo yao japo yamezongwa na ulaghai ila vielelezo ulivyoviorodhesha sio vizuri ki afya.Waje kwako msabato usiyekula nguruwe, usiyekunywa soda, na unaedai pipi zinatengenezwa na damu za watu kuzimu?
Amkeni achaneni na dini.