Natafuta connection ya kazi

Kilimi

Member
Jan 11, 2023
77
108
Wazee niliomba connection ya kazi humu miezi kadhaa JF mlinisaidia kwa kiwango chake kwa kurespond na tatizo langu la kazi kiukwel nimeapply sehem mbalimbali bado nasubiri majibu lakini NAOMBENI Bado cjafanikiwa.

Jana tarehe 16 /12/2023 nimeona Nipeleke familia nyumban kwanza ili nipambane kiume wazee NAOMBENI connection yoyote halali napitia kipindi kigumu sana.

Kaka ZANGU, dada ZANGU naombeni connection ndugu staki kukaa mbali na familia yangu niokeni tu na mungu Atawabariki.

Ahsante

0693392242 (BCOM finance udsm)
 
wazee niliomba connection ya kazi humu miezi kadhaa jf mlinisaidia kwa kiwango chake kwa kurespond na tatizo langu la kazi kiukwel nimeapply sehem mbalimbali Bado nasubir majibu lakini NAOMBENI Bado cjafanikiwa Jana tarehe 16 /12/2023 nimeona Nipeleke familia nyumban kwanza ili nipambane kiume wazee NAOMBENI connection yoyote halali napitia kipindi kigumu sana ...kaka ZANGU ,dada ZANGU naombeni connection ndugu staki kukaa mbali na familia yangu niokeni tu na mungu Atawabariki ...Ahsante ..0693392242(BCOM finance udsm)
Sina connection ya kazi mkuu ila ujumbee huu ni kwako na kwa vijana wengine wote mnaotafuta kazi USIKATE TAMAA USIKATE TAMAA USIKATE TAMAA nimerudia mara ya 3 mkuu tena kwa herufi kubwa ili unielewe vizuri.

Wakati nimemaliza chuo kuna mshikaji wangu mmoja aliniambia kuna sehemu wanahitaji wafanyakazi ilikuwa kiwandani yeye alikuwa amesomea mambo mengine hivyo nikaandaa CV nikaenda siwezi kusema ni kiwanda gani ila ni kule maeneo ya kisemvule nilienda siku ya interview tulikuta watu wengi sana almost over 200 people tulikuwa pale wengine wameletwa na gari kufanya interview ili wakimalize warudishwe nyumbani maana ilikuwa ni kiwanda cha mzungu wanalipa vizuri kuna maslahi hivyo watu walikuwa wengi sana halafu wanahitajika watu 8 tu tena vitengo tofauti ukifika pale lazima ukate tamaa maana hakuna mtu ninayemjua hvyo HR alivyoona watu wengi akaahirisha interview mpaka siku nyingine ilikuwa j.5 akasema tuende j.3.

Nilirudi nyumbani j.3 nilienda tena Ila tuliambiwa HR hayupo kaenda kwenye kikao hvyo leo hatokuwepo na kutoka ninapo kaa mpaka kisemvule nauli 4000 kwenda na kurudi nikaondoka ila tuliuliza anarudi lini tukaambiwa siku anayorudi tukaondoka ila this time tulikuwa wachache sana kama 100 hivi ila kadri siku zinavyoenda watu walipungua na tulifanya interview tukiwa watu kama 30 hivi na nilifanikiwa kupita katika hao watu 8 tumeshapata kazi HR anatuambia nilifanya vile ili kuangalia uvumilivu wenu maana kazi za humu ndani zinahitaji uvumilivu kweli zilikuwa kazi za kiume ila hela ilikuwepo ila nilikuja kuondoka pale ila siwezi sahau mpaka leo.

Kama wewe ni mhitimu umeenda sehemu kuomba kazi ukaambiwa urudi siku fulani wewe rudi mpaka dakika ya mwisho as long as anayekupa ahadi ni HR kwasababu wakati mwingine wanatumia njia hyo kuchuja watu hivyo GPA yako weka kando usiseme mimi GPA yangu kubwa siwezi teseka namna hii watanitafuta tu wenyewe acha hizo mambo kabisa.

Kitu kingine usijifananishe na wenzako hata siku moja angalia majukumu uliyonayo kwenye familia yako na nafasi yako mkuu mnaweza mkawa mmesoma wote chuo kimoja na kozi moja ila mwenzako kwao ni mtoto wa mwisho haangaiki kutafuta kazi maana ana maana ana mama ana baba ana kaka zake ana dada zake ana shemegi zake hivyo hana wasiwasi wowote kwasababu ana watu wana mpa support hivyo hata siku moja usijifananishe na mtu iwe kielimu au kiumri they grew up with ages we grew up with responsibility majukumu ndio yanayotutofautisha nishawahi kufanya kazi na mtu analipwa mshahara ila nyumbani kwao bado walikuwa wanamtumia hela za kutumia kwa hyo mkuu PAMBANA PAMBANA PAMBANA Don't give up I wish you all the best mkuu hata sisi tumetoka huko huko.
 
Oooh thank you bro
 
Thanks bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom