Soldering gun na station

Soldering gun na station

Electronics ni umeme wa kimaskini. Ni bora ukachomelee mageti kuliko kuchomelea viredio vya elf tano tano!
Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza.
Kwa hiyo na kubeba magunia k/koo ni bora kuliko kibanda cha Mpesa?
 
si lazimishi mtu aishie darasa la saba
soldering waya ni kazi za kuunga spika, km TV na vitu vidogo vidogo na umejulishwa pesa yake ni sh 2000/ mpaka elfu 5000/ charging system ya simu kitodhi inauzwa 3000/ kuiunga ni sh 2000/ au 1000/
sasa eti la numba au kuunga spring main leaf ya gari ni bei gani
mbona mnataka kujidumaza? hata ukifika VETA au Vyuo vya Ufundi msomeshe mtoto wako litu cha kumsaidia maisha, sio hvo vikazi ambavyo anaweza kutumia vidole kuunganisha waya wa speaker uliokatia
Unaweza kuwa na hoja, ila hayo mageti watu wangapi wanaweka kwenye nyumba zao.
Uzoefu wangu ni kuwa kila ufundi darasa la saba anaweza kujifunza. Ungefanya uchanganuzi wa kila na hasara za kila ufundi.
 
Wote tukiwa hivyo nani atakutengenezea simu na tv yako...wewe utazipuuza ila kuna watu zinawaweka mjini na life linaenda vizuri tu.

Back
Top Bottom