Soldering gun na station

Soldering gun na station

umeme mkubwa ni deal kuliko kuchomelea visimu, Tv na Redio unaweza kaa kutwa wasilete kiredio au ujaze maTv tena ya kichogo bila kutoka
Mageti na Madirisha ni deal ya uhakika km utabanana kwenye nyumba mpya za ujenzi au ukaitwa kwa mtu ukarekebishe mageti na madirisha
Yote yanataka umaarufu na uaminifu
Electronics is the future.
 
Hapo kwenye namba 6 mkuu kiukweli mimi nimefuzu ila sasa kama mtu kaumbwa na kapua kafupi hapo inakuwaje eti yaani.

Sent from my cupboard using mug
1627609633158.png

1627609675283.png
 
umeme mkubwa ni deal kuliko kuchomelea visimu, Tv na Redio unaweza kaa kutwa wasilete kiredio au ujaze maTv tena ya kichogo bila kutoka
Mageti na Madirisha ni deal ya uhakika km utabanana kwenye nyumba mpya za ujenzi au ukaitwa kwa mtu ukarekebishe mageti na madirisha
Yote yanataka umaarufu na uaminifu
member tangu 2010 lakini comment ya kipumbavu kabisa
 
Ndugu usilazimishe watu wakipende kitu ambacho wao hawakipendi....ujuzi mzuri ni ule unaoupenda kutoka moyoni, utafanya kqzi vizuri sana na utaejoy maisha yako.

wewe ndio mpumbavu katika ******* wote tangu nimejiunga JF, kajifunze namna ya kurukia Mada, humu kuna wanaume wasiotaka mimba za kubambikiwa
member tangu 2010 lakini comment ya kipumbavu kabisa
 
Ndugu usilazimishe watu wakipende kitu ambacho wao hawakipendi....ujuzi mzuri ni ule unaoupenda kutoka moyoni, utafanya kqzi vizuri sana na utaejoy maisha yako.
si lazimishi mtu aishie darasa la saba
soldering waya ni kazi za kuunga spika, km TV na vitu vidogo vidogo na umejulishwa pesa yake ni sh 2000/ mpaka elfu 5000/ charging system ya simu kitodhi inauzwa 3000/ kuiunga ni sh 2000/ au 1000/
sasa eti la numba au kuunga spring main leaf ya gari ni bei gani
mbona mnataka kujidumaza? hata ukifika VETA au Vyuo vya Ufundi msomeshe mtoto wako litu cha kumsaidia maisha, sio hvo vikazi ambavyo anaweza kutumia vidole kuunganisha waya wa speaker uliokatia
 
Solder ring gun (Soldering Iron) ndio inayotumika katika matumizi ya kawaida ya kuchomea kitu kimoja kimoja.

Soldering station (Rework station)inajumuisha
1. Soldering Gun na
2. Hot Air gun.

Hot Air gun , inatumika kufanya re-flow au kuchoma sehemu zaidi ya moja kwa wakati mmoja kwa kutumia hewa. Kuchoma huko kwa kutumia Hewa inaweza kuwa DeSoldering au Soldering, haswa haswa kwa SMD components.

Soldering Station ina Range kati ya 150,000/ hadi 200,000 na kuendelea kulingana na ibora na muundo wake.

View attachment 1873218
Kiongozi, asante sana kwa elimu hii..!!
 
Akili za hivi ni za kusikitisha.
Akili za kivivu ni hizo za kukaa mitaani kusubiri visimu vya wizi
mm nina jamaa alikuwa fundi simu akitumia hicho kimashine kila mwaka simu zinabadilika Elimu hana ni kubuni tu ndio maana nawachukia, toka simu za dole gumba hadi leo ni kuharibu tu kajaza maTV
Technogy inabadilika kila siku na wao shule hawakuenda na hawaendi
Mimi naona akili yangu si ya kushikiliwa naamini bora kuchomelea kwa umeme au gesi
 
We jamaa sio kila fundi electronics hajapita shule kwa hizo mashine mnazo chomelea zinatengenezwa na haohao mafundi umeme
 
Nenda DIT ndio utajikuta elimu yako bado kuhusu electronics!!
Electronics sio tu hile watu wamezoea ya tv za chogo nenda Aggrey kariakoo kaone vijana wanavyopiga pesa kimya kimya ..huyu huyu anaeponda samsung yake ikiloga tu anaenda kupigwa za uso na kuwa mpole alaf kaz ya chini ya nusu saa tayar mwenzako anaingiza ata 50k as profit....
Kila mmoja afanye anacjokiamin, nakumbuka kipind tunaaply kusoma computer eng weng walitucheka kuwa tunaenda kusoma course ya ovyo leo hii ata jamaa waliopga mechanical na civil nawaona mafala kwangu coz mzigo ninaoingiza tu kwa kubonyeza keyboard ni zaid ya mshahara wa civil eng tena TANROADS na bado harakat zngne kitaa zinaenda so ukiamua kufanya kitu fanya as long unaipenda usiangalie watu wanaipondaje
 
Sawa mwamba kumbe ww na wewe ni dit
 
Unalitengeneza baada ya muda gani? Munakuwa wangapi? Mageti mangapi kwa mwezi?
Kkoo Kuna mafundi wengi tu wanalaza kuanzia 100k

Imagine tu Display hizi super Amoled, Wana namna ya kuzipata toka simu mbovu, za wizi, etc mtu ana ingia kichwa kichwa anabamizwa hadi zaidi ya laki 3.
afadhali umetutetea
 
Hamna kwa raha wapi wazamani ninadhani ndio mlipata elimu yaku eleweka
DIT ni ile ile kutoboa mwaka wa 3 lazma ujute kwann ulifaulu Physics na maths yaan ukifika final year lazma uchanganyikiwe kabisa but DIT itabak ni best engineering institution in TZ maana ukitoka tunakutana na watu wametoka mauniversity wanayaita yaan mpaka unabaki tu kucheka vijana wa diploma tu anamkalisha 4years graduate vyuo vingine.
But lazma ujitume sana nje ya elimu ya darasan ili mtu uive vizur sana hasa kwenye technology coz technology inachange sana yaan ukikaa tu vibaya unapigwa chin.
Ex. zaman ulikuwa ukijua HTML tu unaweza kuchukua kaz ya website but sasa website zinazotengenezwa ni hatar yaan so lazma ujiongeze sana..
 
Sema fundi mtaani wemekua wengi mno competition is high
 
umeme mkubwa ni deal kuliko kuchomelea visimu, Tv na Redio unaweza kaa kutwa wasilete kiredio au ujaze maTv tena ya kichogo bila kutoka
Mageti na Madirisha ni deal ya uhakika km utabanana kwenye nyumba mpya za ujenzi au ukaitwa kwa mtu ukarekebishe mageti na madirisha
Yote yanataka umaarufu na uaminifu
Vipi usalama wa macho mkuu ?
 
Back
Top Bottom