Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,063
- 4,058
nataka kufunga pump kwa ajili ya umwagiliaji.
Je nishati ya gharama nafuu ni kufunga solar au jeneta?
Je nishati ya gharama nafuu ni kufunga solar au jeneta?
Kiranja, napata wasi wasi kama umwagiliaji unaotaka kufanya ni wa kiuwekezaji au ni wa hobby tu.nataka kufunga pump kwa ajili ya umwagiliaji.
Je nishati ya gharama nafuu ni kufunga solar au jeneta?