Sokoine kama leo hii ndio angekuwa Rais, angeruhusu haya yaendelee?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,710
149,949
1.Mawazii,Manaibu Mwaziri,Makatibu Wakuu na Manaibu wao na Wakurugenzi kutembea na mashangingi

2.Raisi kuendelea kutokulipa kodi

3.Bunge kutokurushwa live

4.Wabunge kulipwa sitting allowance

5.Mawaziri wake kutuhumiwa na yeye kukaa kimya.

6.Wakuu wa mikoa na wilaya kuendelea kuteuliwa kwa style hii

Tumtendee haki mzee huyu tunapomfananisha na watu wengine.
 
Labda kama angekuwa rais kupitia chama chake kipya na siyo CCM.
 
Nikionaga picha zake namuona km ni mtu mwenye Comittment hapana ujinga ujinga....sidhani km kungekuwa na haja ya upinzani...but kwa sasa unahitajika,maana hata huyu aliyeko sasa lichama lina mbana mbavu.
 
1.Mawazii,Manaibu Mwaziri,Makatibu Wakuu na Manaibu wao na Wakurugenzi kutembea na mashangingi

2.Raisi kuendelea kutokulipa kodi

3.Bunge kutokurushwa live

4.Wabunge kulipwa sitting allowance

5.Mawaziri wake kutuhumiwa na yeye kukaa kimya.

6.Wakuu wa mikoa na wilaya kuendelea kuteuliwa kwa style hii

Tumtendee haki mzee huyu tunapomfananisha na watu wengine.
Unavyo andika ni kama vile haya yanayofanyika mwaka jana yalikua yanafanyika pia.

Em angalia jitihada zinazofanyika katika uongozi huu ambazo toka nyerere aondoke sidhani kama vilikua vina fanyika... ni miezi sita tu na sidhani kama imefika toka aingie magufuli...

Mnataka afanye yote kwa mkupuo itawezekana…

ni ahadi ngapi tuliahidiwa na serikali zilizopita na hazikutekelezwa?

ni ahadi ngapi serikali hii imeahidi na imetekeleza mpaka sasa?

Viongozi wangapi waliopita wameonesha nia ya dhati ya kututoa tulipo?

Au kila juhudi zinazofanywa tunatafuta ambazo hazifanywi na kutumia kama kasoro?
 
mkuu unalalamika au unajitetea ?
 
Leo kama sokoine angekuwa rais......!! Sema kama sokoine angekuwa rais wa awamu ya pili.....Sasa mkuu tupo awamu ya tano hata leo angekuwa hai angeshamaliza kipindi chake loooong time.
 
mkuu unalalamika au unajitetea ?
Hahahah...
nachotaka kusema ni hii "NGE" ikishatumika kwenye sentensi maana yake imeshapita hio.

Hayo mawazo yakusema ange ange yanaakiwa yapotee... sasa ni wakati wa kusema, "tuki", "kiki" "waki", "mki".

Tutoe mawazo ya nini kifanyike na sio kulalamika na kuwaza ambao wameshaondoka.
labda kama tukiwatumia kwa kisema waliopita walikua hivi na hivi kwaio sisitufanye hivi na hivi.
 
Leo kama sokoine angekuwa rais......!! Sema kama sokoine angekuwa rais wa awamu ya pili.....Sasa mkuu tupo awamu ya tano hata leo angekuwa hai angeshamaliza kipindi chake loooong time.
sokoine kwenye uzi huu amebeba maana ndefu sana , hapa hatumzungumzii hayati sokoine , kinachozungumzwa ni ule utendaji wa kutukuka wa sokoine .
 
1.Mawazii,Manaibu Mwaziri,Makatibu Wakuu na Manaibu wao na Wakurugenzi kutembea na mashangingi

2.Raisi kuendelea kutokulipa kodi

3.Bunge kutokurushwa live

4.Wabunge kulipwa sitting allowance

5.Mawaziri wake kutuhumiwa na yeye kukaa kimya.

6.Wakuu wa mikoa na wilaya kuendelea kuteuliwa kwa style hii

Tumtendee haki mzee huyu tunapomfananisha na watu wengine.
Kumbe na wewe uko kwenye kundi la wasiojitambua? Sikutegemea. Rais ni kitu kingine na hata hako kabunge kenu kanasumbuliwa na uch....... hakana jipya. Rais ndiyo Tanzania kijana. Kwa mfano huo when you talk about Tanzania it means Magu and no more.
 
1.Mawazii,Manaibu Mwaziri,Makatibu Wakuu na Manaibu wao na Wakurugenzi kutembea na mashangingi

2.Raisi kuendelea kutokulipa kodi

3.Bunge kutokurushwa live

4.Wabunge kulipwa sitting allowance

5.Mawaziri wake kutuhumiwa na yeye kukaa kimya.

6.Wakuu wa mikoa na wilaya kuendelea kuteuliwa kwa style hii

Tumtendee haki mzee huyu tunapomfananisha na watu wengine.

Watanzania tuna hamu ya ajenda za kutusisimua, jambo la kutufanya tukae vigenge kuongea lakini sio kuwa na nia ya mabadiriko ya kweli. Sijui, lakini naoan sasa tumempata kiongozi wa kutupa topic za kuongea kwenye mabasi na kwenye vigenge. Nimtumbue nisimtumbue....tumbua....wakati nchi nzima inalia pesa hakuna na hali ya maisha ya mtu wa kawaida inazidi kudidimia. Mimi nilidhani kuwa kitu cha kwanza katika kubana matumizi haya mashangingi angepiga marufuku, lakini wapi...Kama kawaida yetu tuvumilie na kuisha kwa tumaini.
 
Nikionaga picha zake namuona km ni mtu mwenye Comittment hapana ujinga ujinga....sidhani km kungekuwa na haja ya upinzani...but kwa sasa unahitajika,maana hata huyu aliyeko sasa lichama lina mbana mbavu.
sasa wewe unaona picha zake na unafeel hivyo. Je mimi ambaye nilikuwa naye bega kwa bega tukiwadhit wahujumu uchumi? Huyu mtu acha tu he had authority in him. Alipokufa moringe nami nikastaaf siasa hamna haja tena
 
Back
Top Bottom