Hii dhana inawaumiza sana wanasiasa kiuhalisia ungesema mkurugenzi ana kazi na sio mbunge maana mbunge hajengi miundombinu kazi ya mama ni 01.kutunga sheria 02.kuishauri serikali 03.kujadili miswadaKweli kabisa.
Mbunge ajaye ana kibarua .
Lile sio soko ni uozo.Na la kisasa
Mwigulu yuko nanyi, mtalipwa na serikali.Soko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
Pale hakuna Soko ni basi tu hakuna namna, Mwaka juzi kama sikosei waliambiwa wahamie Unyankindi wakaagoma kabisaa naona ni mpamgo wa kuwhaamisha kijanja au wanataka wajenge lingine ila lile eneo ni Finyu sana MkuuLile sio soko ni uozo.
Zinauzwa, nyama mbichi, utumbo, samaki na mtu anakojoa na kunya hapo.
Na mama ntilie anakuuzia msosi kilaini tu
Kwa ule mbanano pale km mpk leo hakujabadilishwa ni shida sana.Pale hakuna Soko ni basi tu hakuna namna, Mwaka juzi kama sikosei waliambiwa wahamie Unyankindi wakaagoma kabisaa naona ni mpamgo wa kuwhaamisha kijanja au wanataka wajenge lingine ila lile eneo ni Finyu sana Mkuu
Kuna ile ukinyoosha ni Dampo uchafu mtupuu umezagaa PaleKwa ule mbanano pale km mpk leo hakujabadilishwa ni shida sana.
Ukipinda kona moja uko kwenye mansion ya wahindi wale Naghji,
Ukipinda mbele ni mtaa wa kina Dewji. Mtu unafkiria hawa dk 5 nyingi wanajenga hilo soko.
Hata uwanja wa Namfua tulipiga kelele haswa.
Soko mpaka linachomwa moto.
Ndo hicho mtu unashindwa kuelewa pale kuna kitu gani.Kuna ile ukinyoosha ni Dampo uchafu mtupuu umezagaa Pale
Kwahiyo solution ni kuchoma moto....Lile sio soko ni uozo.
Zinauzwa, nyama mbichi, utumbo, samaki na mtu anakojoa na kunya hapo.
Na mama ntilie anakuuzia msosi kilaini tu
Hamna itakua ajali tu ya moto.Kwahiyo solution ni kuchoma moto....
Amos hayuko huko kweli?Soko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
Shortcut ya kuwatimua wafanyabiashara bila fidiaSoko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
CCM HAOSoko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
Ila tz moto tangu jana habari tunazipata leo