Habarini wana JF.
Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza hivi mtu akiingia shamba akalima kwa wingi vipi soko lake likoje especially kwa Dar? Mimi nipo mkoani lakini nimewaza kama nitalima na nitasafirisha kwa wingi, je soko lake lina uhakika kwa Dar? au kwa export? Naambatanisha picha kwa wale wasioelewa vizuri