Soko la Uyole - Mbeya linaungua moto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la Uyole - Mbeya linaungua moto.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Oct 10, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Kuna habari zisizo rasmi kupitia Radio Free Africa ya kwamba soko la Uyole huko Mbeya linaungua saa hizi. Mwenye habari zaidi tunaomba mtujuze.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Tetesi tena wakati umesema umesikia RFA?
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Duh.. Kama kweli, Mbeya kunani?
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Nimesikia lakini hata aliyetoa habari hana chanzo sahihi, hata yeye anategemea habari apewe na watu walio eneo la tukio, amedai habari inaweza kuthibitishwa baadaye. Hivyo kwa sasa ni tetesi.
   
 5. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  duh hii hali mpaka lini?
   
 6. k

  kapya Senior Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu mlioko maeneo ya tukio tuoeni taarifa,tumepigiwa simu mida hii kutoka mbeya.tuhabarisheni vizuri wana jf mlioko maeneo ya tukio.
   
 7. M

  MAWAZO JUNIOR Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu ungetyafuta hizo taarifa kwanza afu ndo uje uweke uzi huu,kichwa cha habari hapo juu kimeonesha una uhakika na tukio kumbe na we mwenyewe unaomba kujuzwa lol! WATANZANIA tuna kazi kubwa kweli kweli!
   
 8. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ha ha kweli maana jana jana niliota resturant yangu inaungua nikajikuta asubuhi nawapigia watu ha ha!
   
 9. k

  kapya Senior Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu elewa maana ya alert news
   
 10. G

  G. Activist JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF,

  Kuna habari kwamba soko la Uyole Mbeya lawaka moto usiku huu!! Hizi ni habari za kusikitisha kama kuna ukweli!!
  Kuna nini Mbeya hili ni soko la tatu sasa kuwaka moto hapo hapo mbeya mjini!!

  Nawasilisha, mwenye taarifa atujuze.
   
 11. K

  KITEKSORO Senior Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Mbeye? Ni huko Congo?
   
 12. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  ndio maana hupati LIKES una nyoda na jeuri. alikusudia kusema MBEYA. Miaka 5 kwenye jamiiforum una LIKE moja!!!au unatoka kongo?
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  Soko la Uyole mkoani Mbeya linateketea kwa moto, jitahada za kuuzima zinaendelea, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
   
 14. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mawee makatapera yanguuuu!!!
   
 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  wapii sugu??
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  Sugu siku hizi kawa fire brigade?
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yuko bize na vinega.
   
 18. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mbeya again?
   
 19. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I really fail to understand whats going on there. Kila siku masoko yanawaka moto Mbeya. Nimeanza kuingiwa na mashaka inawezekana ni hujuma hizi. Wahusika basi mtupe majibu, nini hasa kinasababisha masoko manne..Mwanjelwa, Sido, Uhindini, na sasa Uyole.
   
 20. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli ukifanyia biashara masoko ya Mbeya inabidi uwe na bima ya moto.
   
Loading...