Soko la Uyole - Mbeya linaungua moto.

tushazoea huko Mbeya kwa mwaka lazima masoko mawili yaunguzwe itakuwa ni makusudi tu!
 
Mji wa Mbeya utadumaa kutokana na masoko yake kuungua, hata Moshi ilikuwa hivi siku za nyuma. Kama sijakosea kuna utafiti ulifanyika ili kujua chanzo, sijui ulileta majibu gani na pia sijui kama yametekelezwa.
 
Weka picha japo kidogo ndugu!Serekal itaunda tume kuchunguza chanzo cha moto!Majib ya moto tz ni mepes sn,
More than 90% tanesco wanahusika and the rest ni hujuma!
 
Hayo majanga ya moto mbeya eti ni kweli yakishatokea huwa kunatokea ajali za ndege kwenye mkoa huo.
 
Mwe whaa! Huli yenu wu mbeye ntele... twafwaa yooo....hiiiii unanu ayinze atwavwe yooo....mai wee!
 
I really fail to understand whats going on there. Kila siku masoko yanawaka moto Mbeya. Nimeanza kuingiwa na mashaka inawezekana ni hujuma hizi. Wahusika basi mtupe majibu, nini hasa kinasababisha masoko manne..Mwanjelwa, Sido, Uhindini, na sasa Uyole.
Umesahau soko la Forest!
 
I really fail to understand whats going on there. Kila siku masoko yanawaka moto Mbeya. Nimeanza kuingiwa na mashaka inawezekana ni hujuma hizi. Wahusika basi mtupe majibu, nini hasa kinasababisha masoko manne..Mwanjelwa, Sido, Uhindini, na sasa Uyole.



Mimi kwa upande wangu naona mpango mkakati kukwepa siasa. Yaani kama short cut fulani kuharakisha maboresho ya masoko. Sioni hitilafu yoyote ya umeme hapo. Ukitaka maaamuzi ya Full cancel na baadaye watu watoke kwa hirari si utamaliza mwaka mnabishana. Dawa? Kibiriti tu!
 
Infact you're great lier; which facts can auntheticate your comment?

from the words...au ni kiswahili kile mkuu....pale amewasiliana na 'CLUSTER' yake tuu.....ni maoni tu,au na sie wanyamwezi tuanze kuandika kinyamwezi tupu...amanke jamaa kapiga mistari yote kwa kimakonde!!loh
 
Back
Top Bottom