DOKEZO Magomeni, Kanisani: Dampo linahatarisha afya za watu, viongozi chukueni hatua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Chawa wa Zamani

Senior Member
Mar 12, 2023
113
154
Hv ninavyoandika hapa hilo (waliloligeuza Dampo kienyeji) linaungua kuanzia saa 10 alhasiri yani ni 'Mimoshi' kwa kwenda Mbele mpk sasa waathirika zaidi n nyumba zilizokaribun na hapo nk..

Tulishasema sana! Na Vyombo vya habari vimesharipoti mfano (I.T.V superbrand )nk kuhusu huu uharibifu wa Afya za watanzania kilazima kupitia uchomaji holela wa hilo (waliloligeuza Dampo) hapo Magomeni kanisan kuelekea Mkwajuni Kinondon ,lakini juhudi azikufua dafu kwani n wazi wamedhamiria na hio n desturi yao iliyotukuka.

Cha kushangaza! Dreva (kwasasa simtaji) anayeleta Takataka hapo ambaye kimsingi anaaminika ndio mratibu namba Moja wa hayo mambo ya hovyohovyo nk..Anajulikana na Halmashauri ya kinondon kabisaaa! na kuna muda anatumia Gari la Halmashauri ya hapo Kinondon kumwaga Taka hapo kisha kuzichoma bila kujali afya zao na wengineo.

Nawaza hv Usalama wa taifa na hao Viongoz (hasa wa eneo hilo tajwa) wanafanya kazi gani hapo ofisini ? hiv wanafkiria kwa akili ipi hio hii hii au?

Hivi wanajua madhara ya Mtu kulala/kuivuta hewa ya Carbonmonoxide kwa usiku/mchana? Mnataka siku moja tuamke na Vilio vya watu kufariki kwa kusababishiwa kwa makusudi kisa huo Moshi/ moto? nk.

Rais Samia ,Ongea nao wew maana sie hawatusikilizi tena,kwani n wazi sasa hawakutakii(hawatutakii) Mema!


Magomeni.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom