Soko la Soya

Soko la Soya

Ni kitu kilekile
Sio sahihi.
Soya ni soybean (Glycine max)
Maharage ya soya ni maharage yenye rangi ya zambarau (kule mbeya wanaita kablanketi) lakini ni maharage tu ya kawaida (Phaseolus vulgaris). kiuhalisia maharage ya soya ni maharage tu. Sio Soya
 
Sio sahihi.
Soya ni soybean (Glycine max)
Maharage ya soya ni maharage yenye rangi ya zambarau (kule mbeya wanaita kablanketi) lakini ni maharage tu ya kawaida (Phaseolus vulgaris). kiuhalisia maharage ya soya ni maharage tu.
 
Upo sahihi. Kuna tofauti kati ya soybean na soya beans. Thanks for clarification nilijibu bila kufikiri.
 
Back
Top Bottom