KMkhalid Senior Member Joined Feb 26, 2018 Posts 118 Reaction score 228 Nov 8, 2021 #1 Habari zenu wakuu. Naomba msaada mwenye kujua wapi naeza kuuza sakiti mbovu za simu ( smartphones na za kawaida ) kwa Dar es Salaam.
Habari zenu wakuu. Naomba msaada mwenye kujua wapi naeza kuuza sakiti mbovu za simu ( smartphones na za kawaida ) kwa Dar es Salaam.
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Nov 8, 2021 #2 Nenda Kariakoo kwa mafundi simu utauza bila wasiwasi
KMkhalid Senior Member Joined Feb 26, 2018 Posts 118 Reaction score 228 Nov 8, 2021 Thread starter #3 Hajto said: nenda kariakoo kwa mafundi simu utauza bila wasiwasi Click to expand... Wale wananunua bei za chini, na wenyewe wanauza pia.
Hajto said: nenda kariakoo kwa mafundi simu utauza bila wasiwasi Click to expand... Wale wananunua bei za chini, na wenyewe wanauza pia.
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Nov 8, 2021 #4 KMkhalid said: Wale wananunua bei za chini, na wenyewe wanauza pia. Click to expand... Ukionana na mafundi mnapoozana tu kishikaji
KMkhalid said: Wale wananunua bei za chini, na wenyewe wanauza pia. Click to expand... Ukionana na mafundi mnapoozana tu kishikaji