Wiki iliyopita nilibahatika kufika Soko kubwa kabisa la jumla mjini Morogoro linaitwa Mawezi
Pamoja na soko hilo kuwa na miundombinu ya kizamani (nafikiri ya miaka 80?) kilicho nishangaza kila Butcher ya kitoweo na hadi maliwatoni watu wameweka madumu ya maji hali iliyopelekea nitake kujua kulikoni
Ndio nikaambiwa, maduka yaliyozunguka soko yakiuza kitoweo cha samaki, kuku na nyama nyingine hayana maji kwa miaka kadhaa sasa huku wamiliki hulazimika kuja na maji yao kutokea nyumbani
Kimsingi wamiliki wa Vibanda/maduka wanaona ni kero, kwani wanasema wanatozo nyingi tu wanalipia za kufika zaidi ya laki moja, tofauti na leseni ya kawaida ya Biashara.