DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,609
Hizo biashara za style hiyo, Zina kila dalili ya Usanii.
Weka vitu wazi watu wahamasike.
Mwenye shida ni wewe, na sio wanunuzi.
Jitahidi usimfanye mteja wako aumize kichwa sana kuhusu bidhaa yako,
Wafanye wateja wako waone kufanya biashara na wewe ni STAREHE KAMA STAREHE ZINGINE.
Ni ushaur tu
Sent using Jamii Forums mobile app