Soko la Machinga Complex Dodoma linawaka moto muda huu!

Soko la Machinga Complex Dodoma linawaka moto muda huu!

Huwa najiuliza hivi hili soko la machinga ndiyo ambalo wataalam wetu wa michoro waliona kama ni zuri sana la kuvutia?

Kwa nini majengo yetu mengi hayana mvuto?
 
Masoko hujuisha watu wa kaliba mbalimbali.
Namaanisha, wapo wanaojitambua na wasio jitambua
1. wengine wanachukua umeme wajisambazia hovyo hovyo kwenye vyombe vya umeme
2. mama ntilie anala maharage yake kwenye mkaa ili asubuhi akute yameiva
3. wengine wanapigia gesi ila wamesongwa sana hivyo ni rahisi moto kusika
4. Mlundikano wa vitu hivyo moto kidogo, unashindikana kuzimwa na hivyo kuenea
5. Hujuma

Ushauri wangu
1. Kwenye ujenzi wa Masoko; Mama Ntile na wapikaji wote wasio rasmi wawe na jengo lao mkabala na jengo kuu la soko ILI moto ukitokea uwe rahisi kupambana nao.
2. watu wanaouza bidhaa zinazo endana/fanana wakae upande mmoja
3. Soko kuu liwe sehemu ya kuuzia na sio sehemu ya stote (Masoko yawe na store ndogo ndogo ambazo wauzaji wanaweza kukodisha na kuhifadi bidhaa zao.
4. iwe maarufuku kutumia frame ya soko la umma kama store. Frame ni sehemu ya kuuzia bidhaa na sio store
hizi hoja zote ni dhaifu....watanzania sio wajinga kiasi hiki.......
 
Masoko hujuisha watu wa kaliba mbalimbali.
Namaanisha, wapo wanaojitambua na wasio jitambua
1. wengine wanachukua umeme wajisambazia hovyo hovyo kwenye vyombo vya umeme hata kwa kutumia nyaya laini kabisa za speaker.
2. Mama ntilie analaza maharage yake kwenye mkaa ili asubuhi akute yameiva
3. wengine wanapikia gesi ila kwenye kauchochoro hivyo ni rahisi moto kushika vitu na kusambaa
4. Mlundikano wa vitu hivyo moto kidogo, unashindikana kuzimwa na hivyo kuenea/kusambaa
5. Hujuma

Ushauri wangu
1. Kwenye ujenzi wa Masoko; Mama Ntile na wapikaji wote vya vyakula wawe na jengo lao mkabala na jengo kuu la soko ILI moto ukitokea uwe rahisi kupambana nao.
2. watu wanaouza bidhaa zinazo endana/fanana wakae upande mmoja
3. Soko kuu liwe sehemu ya kuuzia na sio sehemu ya stote (Masoko yawe na store ndogo ndogo ambazo wauzaji wanaweza kukodisha na kuhifadi bidhaa zao.
4. iwe maarufuku kutumia frame ya soko la umma kama store. Frame ni sehemu ya kuuzia bidhaa na sio store
Nimeipenda hii
 
Halmashauri zinajua kukusanya tu hela ila kufuatilia mazingira yalivyo na uchafu pamoja na watu kujiunganishia umeme kiholela na hata wengine kupika
 
  • Thanks
Reactions: Nus
Back
Top Bottom