Toa data za kutosha bibie....watu wanataka mzigo huo....weka picha,taja bei,aina ya kuku na unao kiasi gani yaani tupe idadi kamili...hivi vitu kama hivi ni lazima ufundishwe darasani eeh?..ok darasa la JF limeshakufundisha,toa majibu ya hayo Maswali hapo juu tafadhali.