Soko la kuku wa kienyeji

Genecandy

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
492
882
Wakuu heshima yenu jamani naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimefatilia thread zinazohusu biashara ya kuku wa kienyeji kwa Dar sijapata majibu ya uhakika naombeni anayefahamu.

Maana na mi mtaji wangu si wa kuku wengi sana hivyo nimeshindwa kuomba tenda mahotelini nahitaji kukuza mtaji kwanza hivyo michango yenu inahitajika sana nimeona wengi wanaomba ila hawapati majibu ya kuridhisha msitutupe jamani tusaidieni na sisi.
 
Soma ulichokiandika, ukielewa basi utapata majibu na usipoelewa ujue hujaeleweka unaongea nini? Na unataka usaidiwe nini?
 
Wakuu asanteni majibu nishayapata kwenye jukwaa la ufugaji na kilimo asante sana!
wakuu heshima yenu jmn naomba msaada kama kichwa cha hbr kinavyojieleza nimefatilia thread zinazohusu biashara ya kuku wa kienyeji kwa dar sijapata majibu ya uhakika naombeni anayefahamu mana mi mtaji wangu si wa kuku wengi sana hivyo nimeshindwa kuomba tenda mahotelini nahitaji kukuza mtaji kwanza hvyo michango yenu inahitajika sana nimeonq wengi wanaomba ila hawapati majibh ya kuridjisha msitutupe jmn tudaidieni na sisi
 
Back
Top Bottom