Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,743
Hapo sasa mkuu unachanganya, hiyo bei ya hiyo bidhaa fulani uliyosema unadhani inapatikana vipi? Location hapo ni muhimu maana bei inatokana na mizania ya demand and supply. Sasa unavosema soko la dunia ni 'term' bila location sikuelewi kabisa.Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
Je soko la dunia la tanzanite lipo wapi?Hahahahaha swali zuri sana
Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.
Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.
Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.
Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.
Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Ndo mana nazidi kusisitiza, 'Location' ni kitu muhimu sana unapotamka soko la dunia kwa sababu unaweza kuwa na utofauti wa bei kwa bidhaa moja.Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
Ki utaratibu linapswa kuwa Tanzania ila kwa sababu ya uboya wetu imekuwa siyo.. kipindi cha nyuma naskia lilikuwa nchi moja ya Scandnavia kama sio Uholanzi ambapo wengi wa wamiliki wa Tanzanite walikuwa wakisafiri kuiuza huko maana ndo kulikuwa na wanunuziJe soko la dunia la tanzanite lipo wapi?
Mkuu umemwelekeza vizuri ila akasome economics aache uvivu au agoogle aache uvivu , soko ni physical geographical area pia ni situations ndo maana kuna masoko yapo online kama online stores na other online retailers kama Amazon na Alibaba yote ayo ni masoko, wanaposema soko la dunia wanaamanisha ni soko la bidhaa ambazo upangiwa bei zake na mataifa mbalimbali au umoja wa wazalishaji bidhaa izo , kwa mfano OPEC ambayo ni umoja wa nchi zinazozalisha petroleum upanga bei za petrol , diesel na mazao yote ya crude oil sasa zile bei wanazopangwa huitwa bei ya petrol katika soko la dunia, maana yake ni usawa wa bei ya bidhaa katika nchi zote.Hahahahaha swali zuri sana
Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.
Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.
Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.
Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.
Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Kuna utofauti gan Kat ya jibu lako na maelezo ya mdau hapo juu?Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
Ndiyo kuna utofauti wa bei sikatai. Lakini kumbuka vile vile bei inaweza kuwa moja. Kulingana na mfano wako bei ya mchele inaweza kuwa sawa pale India na Thailand. Hivyo atakayenunua mcehele India si bado atakuwa ana-refer 'soko la dunia''?Ndo mana nazidi kusisitiza, 'Location' ni kitu muhimu sana unapotamka soko la dunia kwa sababu unaweza kuwa na utofauti wa bei kwa bidhaa moja.
Mfano katika soko la dunia la mafuta kuna standard mbili i) Brent Crude Oil (Ambayo ipo determined na soko la mafuta la ulaya kaskazini) na ii) WTI Crude Oil (Ambayo ni standard ya kupanga bei ya mafuta ya America Kaskazini).
Ipo hivo kwa bidhaa nyingi tu,
Soma nilichoandika. Kama huoni tofauti basi usijali.Kuna utofauti gan Kat ya jibu lako na maelezo ya mdau hapo juu?
Nina maana bei inaweza kuwa sawa sehemu mbalimbali za dunia hivyo unasema soko la dunia unakuwa unamaanisha sehemu zote ile bidhaa inakopatikana kwa ile bei.Hapo sasa mkuu unachanganya, hiyo bei ya hiyo bidhaa fulani uliyosema unadhani inapatikana vipi? Location hapo ni muhimu maana bei inatokana na mizania ya demand and supply. Sasa unavosema soko la dunia ni 'term' bila location sikuelewi kabisa.
Imenibidi nicheke.
Nakumbuka miaka flani nilitumia akili na nguvu kubwa sana kuwafundisha na kuwaelimisha ndugu zangu tena wengine walikua na elimu ya chuo kikuu kuhusu soko la Dunia.
Sasa hapa kuona hili swali imenibidi nikumbuke miaka ile nicheke.
Kwa hiyo soko la dunia la nyungu lipo Tanzania au sio, kweli asante serikali ya awamu ya tano kwa kuzalisha nyunguHahahahaha swali zuri sana
Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.
Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.
Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.
Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.
Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Mku nimekulewa sana ila mbona kwa sasa dhahabu bei yake imepanda almost $1700 per ounce kwenye soko la dunia lakini kwa wachimbaji wadogo bei imeshuka sababu wansema ni huu ugonjwa CORONA sasa kama mahali inapopatikana kwa wingi bei c ingeshuka kwa kuwa masoko hayo ya dunia hayafikiki hasa Tz as an exampleHahahahaha swali zuri sana