Hahahahaha swali zuri sana
Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.
Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.
Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.
Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.
Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Linaweza likawa jibu sema hajafafanua vyema sanaa kakuongezea maswaliUlishajiuliza wanakopanga viwango au thamani za fedha ni wapi? Haya mambo huenda yapo kinadharia tu Ndio maana juzi wamesema vitunguu vimepanda bei kwenye soko la Dunia shinyanga.
Kama lipo labda Marekani kule alikolipua Osama.
Fisiem aka MATAGAWe uko BAVICHA?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.Hahahahaha swali zuri sana
Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.
Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.
Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.
Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.
Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Habari wana JF
Kila cku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kam kun mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu
Yani mie ndo mnazidi kuniacha! Mie nilijua labda kuna pande fulani huko kwa wenzetu vimbwanga vyote vinapatikana huko inaweza ikawa labda nyuuyoki au amstadam au landani kumbe sio😯Hahahahaha swali zuri sana
Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.
Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.
Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.
Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.
Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Habari wana JF
Kila cku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kam kun mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu
Uko sahihi.Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.