Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la dada wanaojiuza usiku kutoka nchi jirani katika miji yote mikubwa Tanzania.Ukienda sehemu yoyote ya starehe usiku na kuongea na wadada maongezi ya kawaida tu utagundua wengi wao wanatokea Kenya na sasa hivi Warundi wameongezeka sana.Ukiacha wachache wanao banana na majirani zetu wengi wa dada zetu wameishia kuvizia wateja barabarani.Gesti nyingi kariakoo kuna Warundi wanaopanga kwa muda mrefu.Haya ni matokeo ya utandawazi na soko moja la Afrika Mashariki.
javascript:void(0)span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }